Milembe Alivyouawa Kwenye Pagale

Uandishi mzuri....Mpangilio mzuri....Ikikupendeza ongeza Aya Mdakuzi....

Hapo kwenye chupa ya Fanta ndiyo hasa napataka...kumeanza kuchangamka..
 
Ilikuwa kabla mwaka 2017, wakakamatwa wote na polisi ila sikuona mahali ilikuwaje, mauaji yamefanyika baada ya ile ishu, ila huyu bidada alikuwa noma 😅😅😅😅 Baba mzazi wa marehemu Milembe Suleman aongea mazito
 
Hapa tutavuluga mada hii...
Kuna kitabu nitawapa kinafundisha jinsi ya kusoma kwa speed...
Elimu yetu Tanzania ni shida Sana, unamaliza chuo kikuu bado "unasoma kwa kutamka kimoyomoyo neno kwa neno"
Mkuu naomba hicho kitabu mkuu wangu nakuomba sana mimi ni mpenz wa vitabu sana tatizo nachukua muda kusoma page 500 naweza kusoma hata mwezi
 
Hahaha...................Tena Siku hizi bei ya kusuka nywele imepanda, bila 50k Bibie hajasuka 🙌

Bora Bibi zenu Mwaka 47 walikuwa wanasuka twende kilioni tu, Mwanaume unatoa shilingi 150 tu Kwa Msusi kumpendezesha Mkeo
Eeh bhana,maisha ni hayahaya...tumia pesa ikuzoee....
NB:tumia faida tu...mtaji no
 
Sure, nimeshuduhia jinsi cousin wangu anateseka
 
Siku
Kuna ile bar kubwa pale Nyegezi tulitinga na mshkaji wangu lango hili la kushoto kwenye vijumba, ilikuwa jioni hivi
Mshkaji wangu huyo Muga ni marehemu sasa alipenda sana watoto wakali na kile kiwanja wapo wa kutosha
Basi tukamkuta mmoja kakaa kijumba cha kwanza baada ya parking anakunywa Heineken yake taratibu
Muga akaomba tujuimuike naye.. Mtoto akakubali ila akasema kuna mtu anamsubiri.. Muga akaona pengine geresha tuu.. Basi muhudumu alipokuja mrembo akaagiziwa Heineken tanko

Dakika ishirini nyingi ikaja Harrier nyeusi kwa fujo sana.. Ikapaki muhuni akashuka mdada kapanda juu ana rasta na kapelo..singlendi pensi na simple rubber
Akaja direct meaning kwetu kwenye kile kijumba akatusalimia kisha akamuuliza yule binti. Love uko ok? Yule akatikisa kichwa kuashiria hakuna shida akamwambia tuondoke basi
Binti akanyanyuka na kutuaga.. Yule demu naye akatuaga akituagizia bia tano tano na kutuambia huko anacheka nawaibia mrembo wenu..! Kibabe fulani hivi..
Baada ya pale ndio zikawa story zake .. Niliporudi Dar miezi michache baadae ndio akauliwa
 
Mmh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…