Milembe Alivyouawa Kwenye Pagale

Milembe Alivyouawa Kwenye Pagale

Siku

Kuna ile bar kubwa pale Nyegezi tulitinga na mshkaji wangu lango hili la kushoto kwenye vijumba, ilikuwa jioni hivi
Mshkaji wangu huyo Muga ni marehemu sasa alipenda sana watoto wakali na kile kiwanja wapo wa kutosha
Basi tukamkuta mmoja kakaa kijumba cha kwanza baada ya parking anakunywa Heineken yake taratibu
Muga akaomba tujuimuike naye.. Mtoto akakubali ila akasema kuna mtu anamsubiri.. Muga akaona pengine geresha tuu.. Basi muhudumu alipokuja mrembo akaagiziwa Heineken tanko

Dakika ishirini nyingi ikaja Harrier nyeusi kwa fujo sana.. Ikapaki muhuni akashuka mdada kapanda juu ana rasta na kapelo..singlendi pensi na simple rubber
Akaja direct meaning kwetu kwenye kile kijumba akatusalimia kisha akamuuliza yule binti. Love uko ok? Yule akatikisa kichwa kuashiria hakuna shida akamwambia tuondoke basi
Binti akanyanyuka na kutuaga.. Yule demu naye akatuaga akituagizia bia tano tano na kutuambia huko anacheka nawaibia mrembo wenu..! Kibabe fulani hivi..
Baada ya pale ndio zikawa story zake .. Niliporudi Dar miezi michache baadae ndio akauliwa
Kwa hiyo Dyfath alijua keshaachwa.
 
V16 😂😂😂😂
Yeah, Mussa kusikia aliyoyafanya sirini , yanaropokwa hovyo mtaani,..alianua kama ngiri mkia juu V16 TURBO CHARGER,..🐗🐗🐗.huku wana wa Israel wakimsindikiza goma la
"kasongo yeye, mobali na ngai,........

*****, chezea damu ya MTU, alijisahau hadi kuwa yeye ni PRINCE,...🏃🏃
 
Mimi nilikuwa ni jirani wa huyo marehemu milembe, sote tulikuwa tunaishi Geita mjini mtaa wa general tires (nyakalembo) barabara inayoelekea mgodi wa GGM, nilisikia story vijiweni wakimsema kuwa ni mbabe japo pia alikuwa Na mpunga wa kula bata za hapa Na pale, alitembelea gari nyeusi Aina ya hariel old model, alikuwa akiingia kwenye kumbi za starehe akiwa Na wapambe nyuma yake, alikuwa akimpenda mwanamke wako wewe sema unataka shilingi ngapi ili akulipe Na wewe upite hivi, mara nyingi kwenye kumbi za starehe alizokuwa akifika milembe siku hiyo lazima fujo zitokee Na chupa zitapasuliwa haswaaa....sehemu alipokuwa akiweka kambi marehemu milembe hasa kwenye kumbi za starehe usisogee kama wewe ni dhaifu kwa sababu muda wowote kinanuka, alipenda kuwaita wanaume "washkaji zake" akikukubali salaam yake kwa wanaume alikuwa anawapa" tano" .................. Alimiliki grossari yake pale maeneo ya shilabela.
Hayo ndo malipo ya maisha aliyoyachagua,.....
 
Huyu pia kuna muda alikuwa anatembea na mdogo wake RK supermarket (sijui ni kweli ama accusation) kuna siku ulitokeaga ugomvi NMB pale ndo ikasadikika ni Milembe na huyo mdogo wake RK
 
Siku

Kuna ile bar kubwa pale Nyegezi tulitinga na mshkaji wangu lango hili la kushoto kwenye vijumba, ilikuwa jioni hivi
Mshkaji wangu huyo Muga ni marehemu sasa alipenda sana watoto wakali na kile kiwanja wapo wa kutosha
Basi tukamkuta mmoja kakaa kijumba cha kwanza baada ya parking anakunywa Heineken yake taratibu
Muga akaomba tujuimuike naye.. Mtoto akakubali ila akasema kuna mtu anamsubiri.. Muga akaona pengine geresha tuu.. Basi muhudumu alipokuja mrembo akaagiziwa Heineken tanko

Dakika ishirini nyingi ikaja Harrier nyeusi kwa fujo sana.. Ikapaki muhuni akashuka mdada kapanda juu ana rasta na kapelo..singlendi pensi na simple rubber
Akaja direct meaning kwetu kwenye kile kijumba akatusalimia kisha akamuuliza yule binti. Love uko ok? Yule akatikisa kichwa kuashiria hakuna shida akamwambia tuondoke basi
Binti akanyanyuka na kutuaga.. Yule demu naye akatuaga akituagizia bia tano tano na kutuambia huko anacheka nawaibia mrembo wenu..! Kibabe fulani hivi..
Baada ya pale ndio zikawa story zake .. Niliporudi Dar miezi michache baadae ndio akauliwa
Waganga feki walitaka kuweka zindiko kwenye pagale mganga wa jf alitaka kuweka zindiko bar!
 
Back
Top Bottom