Milembe Alivyouawa Kwenye Pagale

1.milembe na dayfath walikuwa wapenzi.
2.mapenzi Yao yalikiwa moto Moto baadae wivu ukaanza kumea
3.milembe akawa aanampiga sana dayfath...dayfath akaumia kuona king aanampiga kila mara(king ndivyo alivyomsevu milembe kwenye sim)
4.siku Moja wakapigana sana mpaka dayfath akaondoka .wakati huo mtoto WA milembe aitwaeae grace alikuwepo na aliona ugomvi huo .
5.mtoto huyu tayar Alisha jua mama yake anaishi na mwanamke mwenzake kama wapenzi..mtoto alikuwa Marian girls darasa la sita.
6.dayfath akaanza kupanga mipango ya kumuua milembe..akawasialiana na mshitakiwa WA pili ...Ili amsaidie kutafute mganga atakeyemuua milembe Kwa kutumia uchawi .njia hii ilishindikana..
7. Baadae siku Moja mshitakiwa WA pili akampigia siku dayfath na Kumwambia hii njia ya mganga imeshindikana..tunaweza kutumia njia ya mkato tu kufanya kazi hiyo..
8.dayfsth akauliza njia Gani..akasema tumuue tu..naweza kupata watu wakufanya kazi hiyo .
9.dayfsth akakubali njia hiyo maana tayari alikuwa amechoka manyanyaso..
10.yule mtoto wa milembe (grace) aliwahi Kumwambia dayfath .aachane na milembe maana kila siku wanapigana na anapigwa...dayfath akamwambia yule mtoto..nikaondoka tu lakini mpaka nifikie malengo yangu.
11. Mshitakiwa WA pili akatafuta wenzake wawili...wakapanga mauaji..mauaji yalipangiwa SENGEREMa..
12.dayfath akamwambia mshitakiwa wa pili kuwa amsubiri milembe mwanza kwani kila jumatatu Huwa anatokea mwanza kwenda geita...na hivyo aombe lift na aseme ni mganga WA kienyeji anaesaidia kuwapa zindiko wachimba madini..
13.milembe akamwelewa jamaa wakabidilishana namba...Kwa lengo jamaa ataenda kumzindikia nyumba yake(apartments)anazojenga geita..
14.mshitakiwa akawapanga wenzake wawili ..na taafira zikafika Kwa dayfath.
15.dayfath akakubaliana nao Tena kwamba kazi yote itafanyika Kwa tsh 2.6 million...
16.siku ya siku ikafika..milembe akiwa na mshitakiwa wa pili na wenzake ambao wamejifanya kuwa ni waganga WA jadi..walichukua bajaji..wakaeleke site.
17.kule site kulikuwa na mafundi ambao hawakutakiwa kujua kama nyumba zile zinaenda kufanyiwa zondiko ..
18.walipofika njian wale jamaa watatu wakashuka..mmoja alikuwa amekaa mbele ya bajaji akaomba 5000 kutoka Kwa milembe ya sigara..akapewa
19.bajaji ikaelekea site ikiwa na milembe tu akiwa na chupa ya maziwa na mazaga mengine....bajaji ikamuacha pale...
20.milembe na fundi wake wakayajenga na milembe akamwambia fundi wake mda umeisha aende tu home...fundi akatii akasema..
21. Kisha milembe akawaita Kwa simu wale jamaa(wauaaji) akawaambia waje kwani hakuna mtu mwingine Ili wafanye zindiko...
22.walipofika mara Moja wakamwambia milembe wakiwa wote ndani ya pagale lile achukue dawa apige hatua 3 Kisha aifukie chini ..milembe akapewa dawa akafanya kama alivyoagizwa..
23.akiwa pale chini anafukia gafla akakatwa na panga..alipoleta upinzani..akakatwa mkono na kiganja kutenganishwa...akakatwa shingoni...na Kisha usoni....roho ikauacha mwili..
24. Mara baada ya tukio...wauwaji wakachukua simu mbili za milembe (iphone na sumsung galaxy) kwanza wakaenda kutupa panga lililotumika si mbali sana na eneo la tukio chini ya Mti kwenye nyasi...
25 Kisha wakaenda kutupa sim zile ndani ya shimvla choo .(Chamber)
26.kisha wote wakatoweka kuelekea makwao huku malipo ya mwisho ya tsh laki nane yakifsnyika toka Kwa dayfath..
27.mtoto WA marehem yaan yule grace alipokujuja kutoka shule na kufika Kisha akaelezwa kuwa mama yake amefariki Kwa kuuwawa na baadae akafunuliwa jeneza...alilia na akazimia...
28 .alipozinduka akaenda akawaambia polis waliokuwa pale juu ya mtu anaemhisi kufanya mauaji hayo na hakupepesa macho akamtaj dayfath...na akasema alipomshauri Kwa nini asiondoke na kuachana na mama yake kwani wanapigana kila mara..dayfath akajibu akasema ataondoka mara baada ya kikamilisha mpango wake...hivyo anahisi huyu dayfath ndo kahusika....
29.polis wakaanzia hapo kufatilia nakichunguza ..watuhumiwa wakati WA mbaloni...
30..wote kwenye maelezo ya onyo walikiri kuhusika isipokuwa mshitakiwa WA nne Ambae mahakama ilikosa ushahidi WA Moja WA Moja hivyo akawa Hana kesi ya kujibu..akaachiwa...
31.ile chupa ya fanta,panga,simu zote zilionyesha ushahidi WA vinasaba kuhusika Kwa wauwaji...
32.watyhukiwa waliku4wa na hatia na kuhukumiwa kunyongea mpaka kufa.....
33.dereva bajaji alimtambua mtuhumiwa WA tatu..aliyekuwa amekaa Siti ya mbele siku wanaelekea site......


Kwa kifupi story nzima Iko hivyo.....nimesoma pdf ya hukumu Kwa mda WA saa Moja na dk tano.
 
Musa ndio huyu
 
Zipo chache sana mkuu, watu wanapotea bila kuacha chembe ya ushahidi.
Kama kumbukumbu zangu ziko sawa nakumbuka tumewahi kubishana sana kuhusu hili.

Mimi nikisema kila uhalifu huacha alama, wapelelezi makini ndio hugundua alama hizo.
There’s no such thing as a perfect crime.
 
Jamani mbona kafupi hivi, natamani kusikia story ya Milembe,

Kiukweli, sasa hv ili uishi vzr lazima umpate msiri wako ambae mtaishi vzr na asiye msaliti kama Dayfath. Nimechukia sana alivyofanya Dayfath kumsaliti mwenzake kwa kweli, Mimi nimelelewa na Mtu alitarakiana na mkewe kwa kweli heshima kwake wala sikupata shida wakati niko chuo, amenisaidia sanaa. Na sasa tunawasiliana sana na mimi ni rafiki yake mkubwa ingawa kwa sasa niko mkoa tofauti ila natanbua mchango wake kwa kweli.
 
Maisha ya watu yanasiri mno, kila mtu na starehe yake ili mradi usikele mtu
Sijasema amenikera kiongozi.... Mi Nimeishi naye tulikuwa tumepanga ndani ya fensi moja maeneo ya kijiweni msela tu... So Mikasa yake mingi tu niliishuhudia na Wala hakuna aliyekuwa na time naye maana ile nyumba ilikuwa kama bigbrother kila mtu na time zake ... Jioni mkikaa ni stori mnasambaa ....
 
Mkuu kwenye forensic tulisoma..hakuna tukio lisiloacha ushahidi...ni kazi ya wachunguzi kuutafuta huo ushahidi..it may take years but footprint must be there...ni uwezo WA wachunguzi lakini usiseme ulivyosema ..
Afadhali umesema Mkuu, hiyo nukuu nilipewa na jasusi nguli natembea nayo hadi leo.

Tatizo watu wanaleta ubishi usiokuwa na maana yoyote, ndio maana sijamjibu yeyote katika walioleta ubishi.
 
Marehemu naye ana makosa yake Mkuu, huoni alivyokuwa akimpiga mwenzie? Alimnyanyasa kiasi kwamba mtoto wa marehemu akamshauri Dayfath aondoke…

Sisemi alistahili ila alichangia kifo chake mwenyewe, bila kusahau imani yake juu ya ushirikina pia.
 
Marehemu naye ana makosa yake Mkuu, huoni alivyokuwa akimpiga mwenzie? Alimnyanyasa kiasi kwamba mtoto wa marehemu akamshauri Dayfath aondoke…

Sisemi alistahili ila alichangia kifo chake mwenyewe, bila kusahau imani yake juu ya ushirikina pia.
Kifo chake kinahuzunisha daaah ata neno la mwisho hakusema
 
Msagaji anazaa? Kumbe yeye alionja utamu WA dudus Hadi kupata mtoto ila mwenzake akataka aishi kwa vidole?
 
Uandishi wako wa ku summarize nimeupenda.

Mleta mada anaandika kama riwaya tena kwa kusua sua, inakera inaboa.
 
hakuna tukio lisiloacha ushahidi.
Wenyewe huamini kuwa anayefanya uhalifu ni binaadamu na moja ya sifa yake kuu ni kufanya makosa! Utaacha alama yoyote hata kama ndogo ambayo wataalamu wataifanya kuwa kubwa!

Crime Scene Investigation​

Principles of Crime Scene Investigation​


The key principle underlying crime scene investigation is a concept that has become known as Locard’s Exchange Principle. It states that:

"whenever someone enters or exits an environment, something physical is added to and removed from the scene"
.

This principle is generally summed up by stating: “Every contact leaves a trace.”


Crime Scene and DNA Basics for Forensic Analysts​



Trace Evidence: The Role in Forensic Science​

Chapter 8: Crime Scene Management​


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…