To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Hivi nae kabebwa?Ni kama walikuwa wana mpango wa kuzizindika nyumba za huyo Milembe ndo Dayfat akatumia nafasi hiyo kupanga mauaji, mi naona kama alikuwa na kisasi cha kuua angemroga tu kimya kimya, sasa anaenda kuishia jela duh