Milembe Alivyouawa Kwenye Pagale

Kwa mfano ninapokuwa nakushika 1000 afu wewe ukasogeza mkono wangu kwenye 200 ...hapo ndo nakuwa najiongeza kuwa kumbe anapenda na hizo mbili ziminyweminywe.
Nilikuwa na mtazamo kwamba mabinti wa Mbeya hawana maajabu Kwa bed, ila wewe unataka kufanya nibadiri mtazamo...

Naomba nilipie hela ya Tuition ili uanze kunipa darasa ili kilaza Mimi nianze kuelewa somo 😜
 
Ndo maana tukio lolote mtu hautakiwi kukurupuka kuliongelea bila investigation,watu uwa wanakurupuka sana kuzungumzia matukio bila investigation ata lile tukio la Tanga Bara Bara ya 4,la mama mwenye nyumba na house gal wake kuuwawa watu walikurupuka kuwa mume ndo kawauwa ila baada ya siku kadhaa wakashangaa kuukuta mwili WA jamaa kauwawa .
 
Hivi hii story iliishaje mkuu?
 
kuzindika ni kama kutambika au? hili neno nalisikia sana
Ndiyo, yaani zipate wateja sana maana zilikuwa ni apartments, ila pia huenda zilikuwa zinasuasua akahisi labda zimewekewa nuksi, au pia alikuwa anataka nyumba zake wapangaji wasipatwe na mauzauza wakipanga, kati ya hayo matatu lazima moja limo. Ndo maana utaona kule juu alimuomba Dayfat amsaidie kumaliza jambo fulani ndo kushauriwa watu wa kuzindika
 
Ni kama walikuwa wana mpango wa kuzizindika nyumba za huyo Milembe ndo Dayfat akatumia nafasi hiyo kupanga mauaji, mi naona kama alikuwa na kisasi cha kuua angemroga tu kimya kimya, sasa anaenda kuishia jela duh
kabla ya hapo ilishindikana kumroga
kuna huyo muuza nyanya akamshauri atumie tu shoti kati
 
Muwe mnasoma na kuelewa kilichoandikwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…