NACKO
JF-Expert Member
- Oct 27, 2022
- 1,298
- 2,514
Samahani,...haujakulia bongo?...🤔🤔kuzindika ni kama kutambika au? hili neno nalisikia sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani,...haujakulia bongo?...🤔🤔kuzindika ni kama kutambika au? hili neno nalisikia sana
😂😂Kuna wakati Wazee tunatamani nyama lakini ndiyo vile hatuna meno ya kutafuna 😜
Siku hizi nimesikia mabinti wengi ni Mafundi, kwahiyo ukikutana na mbobezi, hata kama ulikuwa goigoi kusimama, unajikuta unaamka na unatekeleza majukumu kama ulivyokuwa Kijana Mwaka 47 tu 🤗🏃🏃🏃
Sawa Babu, mafunzo mema.Kuna wakati Wazee tunatamani nyama lakini ndiyo vile hatuna meno ya kutafuna 😜
Siku hizi nimesikia mabinti wengi ni Mafundi, kwahiyo ukikutana na mbobezi, hata kama ulikuwa goigoi kusimama, unajikuta unaamka na unatekeleza majukumu kama ulivyokuwa Kijana Mwaka 47 tu 🤗🏃🏃🏃
Hii ni ajabu,...hata mussa alipokuwa misri,...aliua mtu kwa siri, kesho yake akakuta watu wanapigana akaamua kuwaamulia, mmojawapo akaropoka " nani amekufanya kuwa muuamuzi kati yetu, au na sisi unataka utuue ukatufukie kwenye mchanga kama uivyomuua yule mmisri?..."...mussa akasepa kama ngiri mkia juu, V16Watu tunapaswa kujua kuwa ukifanya uhalifu mkubwa kama mauwaji ni lazima ujulikane na kukamwatwa.
Hata ukifanya usiku wa manane bila kumshirikisha
mtu.
Kuna Wachawi wanakuona na kuwaambia Polisi.
Cc MshanaJR, 😎
ukoloniKwanin hukumu wanaziandika kwa kiingereza?
Watu watatu ambao hupaswi kuwashauri:Aliyeketi kwenye kiti cha enzi moyoni mwangu.
Watu hawaelewi mkuu kuna jamaa alikuwa anaiba ng'ombe kijijini yeye haibi nyingi ni moja tu akiiba leo mnakaa mnasahau baada ya miezi mitatu anaiba tena, sasa siku moja mmama mmoja tunamchujua ni mchawi amekunywa akaropoka kwenye pombe kwamba fulani ndio mwizi watu wakachukulia poa fununu zikasambaa aaha wakasema ngoja tumkamate tumpige tuone kama ni kweli jamaa akashikwa akapigwa akasema ni yy na atawapeleka kwa watu anaowauzia so wachawi wanajua kila kinachoendelea usiku.Watu tunapaswa kujua kuwa ukifanya uhalifu mkubwa kama mauwaji ni lazima ujulikane na kukamwatwa.
Hata ukifanya usiku wa manane bila kumshirikisha
mtu.
Kuna Wachawi wanakuona na kuwaambia Polisi.
Cc MshanaJR, 😎
Nimetafuta Tuition huu ni Mwaka wa 5 sasa bila mafanikio, Kila mmoja anaogopa eti Mzee naweza kumfia katikati ya safari😜Sawa Babu, mafunzo mema.
mwenye picha ya huyu dayfath tuione
Unayo picha ya Dayfath Suleiman MaungaBaada Agosti 27, 2024 mahakama kutoa hukumu ya kesi tukio kuuawa kwa Milembe Maunga, na watuhumiwa watatu kukutwa na hatia, wakihukumiwa kunyongwa, kwa sasa napata fursa ya kulielezea tukio hilo kwa kina namna lilivyokuwa.
Yatakuwa maelezo marefu kidogo, ila nitajitahidi kulielezea lote kwa awamu hadi nifikie mwisho. Hivyo, nitakuwa nikiendelea kwenye eneo la maoni.
Naanza...
Mauaji ya Siri: Mapenzi, Wivu, na Kifo
USIKU ulikuwa umetulia sana huko Mwatulole, wilaya ya Geita, mnamo Aprili 25, 2023.
Milembe Suleiman Hungwe alikuwa amepanga mipango ya siku inayofuata, lakini hakujua kwamba huo ulikuwa usiku wake wa mwisho duniani.
Akilini mwake, hakukuwa na wasiwasi wowote. Kila kitu kilionekana kikiwa kawaida, lakini nyuma ya pazia, jambo kubwa lilikuwa linapangwa dhidi yake.
Ndani ya kuta za nyumba isiyoisha kujengwa, yaani pagale, iliyomilikiwa na Milembe, palikuwa na siri nzito. Siri iliyogubikwa na wivu wa kimapenzi.
Twende pamoja
Milembe, ni mwanamama imara aliyefanikiwa sana kazini kwake, nyuma ya maisha yake ya siri kulikuwa na jambo moja alilolificha kwa uangalifu mkubwa—uhusiano wake wa kimapenzi.
Milembe na Dayfath Suleiman Maunga hawakuwa tu marafiki wa kawaida. Kwa muda mrefu, walikuwa wapenzi wa jinsia moja (lesbian), uhusiano ambao waliishi nao kwa siri kubwa.
Katika jamii yao, uhusiano kama huo ulikuwa kinyume katika mila na desturi, jambo lililowalazimu kuficha hisia zao.
Dayfath alikuja kwenye maisha ya Milembe kwa njia ya kawaida—alianza kama mfanyakazi wake katika biashara ya duka la vipodozi la Milembe.
Lakini muda ulivyopita, hisia za kimapenzi zilianza kuchanua kati yao. Wakianza kuishi kinyumba maeneo ya Usagara, Mwanza, wakiishi na mama yake Milembe, msaidizi wa kazi za nyumbani, na baadhi ya ndugu.
Ulimwengu wao ulikuwa ni wa siri sana, lakini ni ulimwengu ambao siku moja binti wa Milembe, Grace Evarist Gervas, aligundua kitu kuhusu mama yake na Dayfath ambacho kilimshangaza sana.
Itaendelea...
Ova
Duuuuh kisu icho
Dada mzurii anaenda kuozea jela. Inasikitisha
Goma lilikuwa tamu balaa kwanini sasa likakubali kuwa lesbian na uzuri huo