Nilichogundua, Dayfath hakunogewa na kusagwa Tu, pia pesa...hadi Milembe anauawa mtaji wa biashara ya kukopesha kwa riba sh. 20mil. alikuwa nazo yeye,
Pia Dayfath alikuwa smart kidogo maana baada ya jaribio la kumuua "the King" mara ya Kwanza kushindikana kutokana na mazingira, aliwaamwambia mmoja WA wauaji aombe lift kwa Milembe wakati Milemba akitoka Mwanza kwenda Geita na humo ndani ya gari adanganye kuwa yeye ni mganga wa kienyeji ambaye huwapa zindiko wachimbaji WA madini (dhahabu na uganga ni kama kulwa na doto) na mlengwa alielewa na yeye akanasa kwenye mtego na kuomba naye afanyiwe zindiko kwenye mradi wake WA ujenzi....
Siku anaenda site kufanyiwa zindiko ndipo majamaa 'waganga' wakamkata mapanga
(nimeyasoma kwenye ukumu) Kama unataka kujifunza kusoma kwa speed kubwa, Pg 200 kwa Sana moja njoo inbox nikupe mbinu!