Milembe Alivyouawa Kwenye Pagale

😂😂
 
Sawa Babu, mafunzo mema.
 
Watu tunapaswa kujua kuwa ukifanya uhalifu mkubwa kama mauwaji ni lazima ujulikane na kukamwatwa.
Hata ukifanya usiku wa manane bila kumshirikisha
mtu.
Kuna Wachawi wanakuona na kuwaambia Polisi.
Cc MshanaJR, 😎
Hii ni ajabu,...hata mussa alipokuwa misri,...aliua mtu kwa siri, kesho yake akakuta watu wanapigana akaamua kuwaamulia, mmojawapo akaropoka " nani amekufanya kuwa muuamuzi kati yetu, au na sisi unataka utuue ukatufukie kwenye mchanga kama uivyomuua yule mmisri?..."...mussa akasepa kama ngiri mkia juu, V16
 
Aliyeketi kwenye kiti cha enzi moyoni mwangu.
Watu watatu ambao hupaswi kuwashauri:

1) Mwanamke aliyependa (huba,penzini ).

2) Mwanamke aliyempenda mchungaji.

3) Mwanaume mwenye hela zake.

Kwa kifupi, akili yako haifanyi kazi vizuri kwani upo kwenye:

mahaba

hali ya kuingiwa moyoni na mtu au kitu na kukithamini zaidi ya vingine


Nb: Mungu awajalie huko mlipo, tusionekane tunaleta nongwa!
 
Watu tunapaswa kujua kuwa ukifanya uhalifu mkubwa kama mauwaji ni lazima ujulikane na kukamwatwa.
Hata ukifanya usiku wa manane bila kumshirikisha
mtu.
Kuna Wachawi wanakuona na kuwaambia Polisi.
Cc MshanaJR, 😎
Watu hawaelewi mkuu kuna jamaa alikuwa anaiba ng'ombe kijijini yeye haibi nyingi ni moja tu akiiba leo mnakaa mnasahau baada ya miezi mitatu anaiba tena, sasa siku moja mmama mmoja tunamchujua ni mchawi amekunywa akaropoka kwenye pombe kwamba fulani ndio mwizi watu wakachukulia poa fununu zikasambaa aaha wakasema ngoja tumkamate tumpige tuone kama ni kweli jamaa akashikwa akapigwa akasema ni yy na atawapeleka kwa watu anaowauzia so wachawi wanajua kila kinachoendelea usiku.
 
Un
Unayo picha ya Dayfath Suleiman Maunga
 
Nilichogundua, Dayfath hakunogewa na kusagwa Tu, pia pesa...hadi Milembe anauawa mtaji wa biashara ya kukopesha kwa riba sh. 20mil. alikuwa nazo yeye,
Pia Dayfath alikuwa smart kidogo maana baada ya jaribio la kumuua "the King" mara ya Kwanza kushindikana kutokana na mazingira, aliwaamwambia mmoja WA wauaji aombe lift kwa Milembe wakati Milemba akitoka Mwanza kwenda Geita na humo ndani ya gari adanganye kuwa yeye ni mganga wa kienyeji ambaye huwapa zindiko wachimbaji WA madini (dhahabu na uganga ni kama kulwa na doto) na mlengwa alielewa na yeye akanasa kwenye mtego na kuomba naye afanyiwe zindiko kwenye mradi wake WA ujenzi....
Siku anaenda site kufanyiwa zindiko ndipo majamaa 'waganga' wakamkata mapanga
(nimeyasoma kwenye hukumu) Kama unataka kujifunza kusoma kwa speed kubwa, Pg 200 kwa Sana moja njoo inbox nikupe mbinu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…