ONE2ONE FOCUS. CO. LTD
Tunajihusisha na Ujenzi wa majengo na huduma nyingine zinazo husiana na ujenzi mbalimbali
*Makazi na Nyumba za Biashara.
*Magorofa
*Shule
*Godowns
*Uuzaji wa viwanja
*Kama una hitaji huduma ya kuuza ama kupanga nyumba tafadhari tutafute.
Na ishu yoyote inayo husu ujenzi tafadhari usi site kuwasiliana nasi.
Tunajenga na kusimamia Ujenzi wa jengo lako kuanzia hatua za awali, Msingi na mpaka finishing, tuna kukabidhi nyumba yako ikiwa kamiri.
*Tunafuatilia kibari cha ujenzi na kukuchorea Ramani ya jengo buree.
*Tunafanya design ya majengo mbalimbali pamoja na interior design.
*Tuna andaa BOQ/ ama makadirio ya ujenzi wa jengo lako kwa gharama nafuu kabisa.
*Mtindo wa malipo yetu ni CASH, malipo yanafanyika kwa njia ya awamu tatu au zaidi kutokana na hali ya mteja mwenyewe na makubariano ya kwenye mkataba.
*Katika kila hatua ya ujenzi tuna kupa uhuru wa kuja kufanya ukaguzi kujiridhisha ma maendeleo ya ujenzi.
*Kama eneo la ujenzi kuna umeme wa tanesco, tuta kuingizia umeme kabla ya kukukabidhi nyumba yako.
*Kama eneo la ujenzi kuna maji ya Dawasco,Mwawasa, Dowasa na kadhalika, tuta kuingizia maji ndani ya jengo kabla ya kukukabidhi.
*TUNA FANYA KAZI MIKOA YOTE YA TANZANIA BARA NA VISIWANI, WASILIANA NASI, SISI TUTA KUFUATA*
*Nyumba zote tunazo jenga zinakuwa chini ya uwangalizi wetu kwa muda wa miaka mitatu( 3) kwa ajili ya kufanya marekebisho madogo madogo ya hapa na pale bila gharama zozote kutoka kwa mateja.
Karibu ONE2ONE FOCUS. CO. LTD Tafadhari "tupe nafasi tujenge Nyumba ya ndoto yako anza sasa anza na kidogo ulicho nacho, anza na ONE2ONE FOCUS CO. LTD" .
Office zetu zipo MAKUMBUSHO COMPLEX STAND YA DALADALA,
Wasiliana nasi kwa namba hizi kwa taharifa zaidi
0782 291213 calls only
0629 780506 calls&watsup.
Tembelea kwenye website yetu
Www.one2onefocus.com
Au tufuate kwenye akaunti yetu ya instagram
@one2one_focus_limited
Hizi ni baadhi ya kazi zetu
Sent using
Jamii Forums mobile app