Milioni 3 na mbususu wapi na wapi? Wanawake badilikeni

Kabisa yaan siku hizi ukiwa na Gari tu, unaweza usitoe hata Mia

Unambeba, unampeleka Mahali anakula Ndizi, Kitimoto na Bia .

Unaenda maliza.

Ila ukiwa Hauna ndinga, aisee wanakuzungusha sana ili hali wewe ndio unaweza kumuachia Pesa ya kujikimu.
Dah! Nianze kujichanga ninunue japo kandinga kama ka mr bean [emoji23][emoji23]
 
hii buti kali timberland au zara
 
Kiatu kikali sana.
 
Masika ulikula na nani Kiangazi usumbue watu?

Ulipokuwa kivulini ulikula na nani unapokuwa juani utake kusumbua watu?

Halafu sijui ndio kurogwa?!

Yani wengine mpaka wazazi wao hawawapi hela ya sukari wala mafuta ya taa [emoji848]

Wapwa na ndugu wengine ndio usiseme kila wakiomba msaada jamaa anatoa majibu ya mkato tu sina hela.!

Lakini kwa wanawake anawapa hela kutaka Sifa !
 
Ndio maana mzazi kuzaa watoto wa kiume ni mtihani wakati mwingine!

Wengine wake zao wa ndoa hawataki mume asaidie wazazi wake wala ndugu wa karibu [emoji108]

Wengine mke anaweza kuwa mkarimu tu lakini Mwanaume hataki tu kusaidia wazazi na ndugu wa karibu , yuko radhi hela yake aimalizia kwenye starehe na wanawake.!
 
Wajinga ndiyo waliwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…