Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui kwann mnatuona washamba sana.
Huyu Bidada niliwah fika Ofisi kwake nilikua nahitaji huduma Fulani ivi.
Nilivutiwa naye yaan ni ile Tamaa tu kuona ni jeupe jeupe Nene limejaa mahips matako n.k.
Alinipea namba ila kwenye kumuomba Mzigo akawa mgumu, alafu madharau mengi sana Sijui na kunichukulia poaaa
Unajua Binafsi huwa sitaki kua kama nanunua, Huwa napenda nimjali mwanamke Kwa Msukumo wa Moyo wangu sio sababu ana K !! Ndio kama K si zipo nyingi yanini Sasa habari za 'fanya hivi fanya vile, aaa bwanaa wewe wengine kamba zetu zinatukutanisha na PISI/VISU mamia Kwa mamia na Kila siku !.
Tuyaache hayo, Siku Kadhaa mbele ndo akapata kunijua Jua hivi naona Sasa akahisi kumuhitaji ndio sehem ya yeye kunipiga......Basi Jana mida ya saa 10 Huyu Bidada Jana anarudia kosa lilelile, " et Nimkopeshe Milioni 3 za kitanzania jamani, kwamba nikishampa ndio naye anipe mbunye yake " hiiiiiiiiiiiiii Nkoiiii !!!
View attachment 2316571
Wee yaan 3M kisa K , sibora mtu anaingia Kwa makubaliano mengine ? Hahaha
Yaan 3M kisa K ?? K ?? Uwiii Mimi sio Bachela nahata kama ningekua Bachela, Mimi sijafikia hatua ya kutoa Pesa Et ndio nipewe K .
Haaaaa Bora kama angekua anauza, ningeenda Moja Kwa Moja kwenye 'Bei', ila Mimi mwenyewe nikutongoze, maana yake nimeamua Kwa Dhamira yangu, wee badala ya kuacha Nikupe Mimi Hela, anataka kulazimisha nitoe Hela kisa mbunye ??.
View attachment 2316568
Alafu nyie Wanawake sikilizeni na heshimuni sana watu , acheni dharau na mbwembwe , Sio mpaka uone mtu ana ndinga ndo uheshimu .yaan Kwa akili ya chekechekea tu Hivi mtu kama Mimi kama siendeshi Gari, Huoni ni maamuzi yangu tu kwamba Pesa yangu Kuna Mahali nimeielekeza ??!!. Haya mambo ya kuheshim watu kisa mnaona wanavitu, matokeo yake "Mmelika Bure sababu jamaa mjini wanaadhima ndinga hawana Hela sana sana atakununulia Pombe na Kitimoto ;!!!!".
unakuta demu anakuchukulia poaaaa kisa unendesha Boxer , baadae akishakujua vizuri kwamba wewe nani, una nn, na nn ,ndo anaanza kukuzoea Kwa speed ya 6G .....
et unakuta Manzi una namba yake naye anayako, huenda unamsalimia lkn anauchuna au yeye tu Salam hamna, alafu Kesho na kesho kutwa anapigwa na kitu kizito kinachohitaji Pesa, hapo ndipo anakumbuka Kuna Boyaa anaitwa Carlos The Jackal hiiiiiiii Nkoiii wasukuma tumeongoza Nchi Kwa miaka 5 !!. Na Si tu KUONGOZA Bali tulitoa Uongozi ambao utaendelea kua Kumbukumbu Kwa vizazi na vizazi hapa Nchini kama uongozi Bora na wakuigwa !!.
Wacha vijana wakope kununua magari. Kwa kweli bila gari kula mbususu ni ngumu sana.Kabisa yaan siku hizi ukiwa na Gari tu, unaweza usitoe hata Mia
Unambeba, unampeleka Mahali anakula Ndizi, Kitimoto na Bia .
Unaenda maliza.
Ila ukiwa Hauna ndinga, aisee wanakuzungusha sana ili hali wewe ndio unaweza kumuachia Pesa ya kujikimu.
Kukopa kopeni, inshu ni kukopa Kwa kigezo cha Mbususu yaan nikama unamuweka mtu ktk mtego.basi tusamehe tumekoma,hatutakopa tena na salamu tutakuwa tunajibu kaka
Endelea kututetea, sisi sote watanzanianilikuwa nawatetea wasukuma maana nilikuwa nakutana na wale wasukuma wa mjini hawana hata ile accent na wajanja sana nikajua wengi wako vile... hiyo stereotype ya ushamba nikawa siielewi ila
Kuna siku nlikutana na toleo la mwisho la wasukuma aisee nilichoka, nkajua kwa nini wanadharauliwa hasa... maana mwanzo Sikuelewa
Wee utakuwa unachakata sana mbususu hadi budget unaijua🤣🤣🤣🤣Oya toa milion 3 hiyo ukigawanya kwa mwaka ni 250000 kila mwezi ukiwa unamla mara 3 kwa mwezi ni 83000 kila mnapokutana hiyo ni jumla ya pesa ya lodge, Savannah na kitimoto na nauli yake kabisa kakubalansia [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Nitumie namba yake pm naona vijana mnashindwa kuluka viunzi vidogo kama hivi 3M inakukimbiza
Ila hili la salamu kwa kweli ni ujinga sana.basi tusamehe tumekoma,hatutakopa tena na salamu tutakuwa tunajibu kaka
Hivi mkikutana na hao wanawAKE AJALI... HUWA MNAOMBAJE MZIGO? MAANA MIMI NAKUTANA NA PISI KALI ILA NAOMBA MZIGO WANANINYIMA.. SASA SIJUI NAKOSEA WAPI.Huyu Bidada niliwah fika Ofisi kwake nilikua nahitaji huduma Fulani ivi.
Nilivutiwa naye yaan ni ile Tamaa tu kuona ni jeupe jeupe Nene limejaa mahips matako n.k.
Alinipea namba ila kwenye kumuomba Mzigo akawa mgumu, alafu madharau mengi sana Sijui na kunichukulia poaaa
Unajua Binafsi huwa sitaki kua kama nanunua, Huwa napenda nimjali mwanamke Kwa Msukumo wa Moyo wangu sio sababu ana K !! Ndio kama K si zipo nyingi yanini Sasa habari za 'fanya hivi fanya vile, aaa bwanaa wewe wengine kamba zetu zinatukutanisha na PISI/VISU mamia Kwa mamia na Kila siku !.
Tuyaache hayo, Siku Kadhaa mbele ndo akapata kunijua Jua hivi naona Sasa akahisi kumuhitaji ndio sehem ya yeye kunipiga......Basi Jana mida ya saa 10 Huyu Bidada Jana anarudia kosa lilelile, " et Nimkopeshe Milioni 3 za kitanzania jamani, kwamba nikishampa ndio naye anipe mbunye yake " hiiiiiiiiiiiiii Nkoiiii !!!
View attachment 2316571
Wee yaan 3M kisa K , sibora mtu anaingia Kwa makubaliano mengine ? Hahaha
Yaan 3M kisa K ?? K ?? Uwiii Mimi sio Bachela nahata kama ningekua Bachela, Mimi sijafikia hatua ya kutoa Pesa Et ndio nipewe K .
Haaaaa Bora kama angekua anauza, ningeenda Moja Kwa Moja kwenye 'Bei', ila Mimi mwenyewe nikutongoze, maana yake nimeamua Kwa Dhamira yangu, wee badala ya kuacha Nikupe Mimi Hela, anataka kulazimisha nitoe Hela kisa mbunye ??.
View attachment 2316568
Alafu nyie Wanawake sikilizeni na heshimuni sana watu , acheni dharau na mbwembwe , Sio mpaka uone mtu ana ndinga ndo uheshimu .yaan Kwa akili ya chekechekea tu Hivi mtu kama Mimi kama siendeshi Gari, Huoni ni maamuzi yangu tu kwamba Pesa yangu Kuna Mahali nimeielekeza ??!!. Haya mambo ya kuheshim watu kisa mnaona wanavitu, matokeo yake "Mmelika Bure sababu jamaa mjini wanaadhima ndinga hawana Hela sana sana atakununulia Pombe na Kitimoto ;!!!!".
unakuta demu anakuchukulia poaaaa kisa unendesha Boxer , baadae akishakujua vizuri kwamba wewe nani, una nn, na nn ,ndo anaanza kukuzoea Kwa speed ya 6G .....
et unakuta Manzi una namba yake naye anayako, huenda unamsalimia lkn anauchuna au yeye tu Salam hamna, alafu Kesho na kesho kutwa anapigwa na kitu kizito kinachohitaji Pesa, hapo ndipo anakumbuka Kuna Boyaa anaitwa Carlos The Jackal hiiiiiiii Nkoiii wasukuma tumeongoza Nchi Kwa miaka 5 !!. Na Si tu KUONGOZA Bali tulitoa Uongozi ambao utaendelea kua Kumbukumbu Kwa vizazi na vizazi hapa Nchini kama uongozi Bora na wakuigwa !!.
Wanakukataa sababu ya hiyo ID yako, wamekushtukiaHivi mkikutana na hao wanawAKE AJALI... HUWA MNAOMBAJE MZIGO? MAANA MIMI NAKUTANA NA PISI KALI ILA NAOMBA MZIGO WANANINYIMA.. SASA SIJUI NAKOSEA WAPI.
Kuna hii toto moja hapa ni kali... nimeibembeleza ila wapi... mwishowe anaanza kuniambia ananichukulia kama kaka yake.. yaaani dah... sijui wananiona kibwengo? hahahahahaha
aaaahh ..... inawezekana aisee..Wanakukataa sababu ya hiyo ID yako, wamekushtukia
Yap, angalia wapi unafeliaaaahh ..... inawezekana aisee..
Hii naona Ina ukweli , Na nmekuja kugundua Kwa kadiri unavyojupanua kiuchumi... Nguvu za kutongoza zinapungua na muda wa kuzungushwa unapunguwa..Mkuu wanawake wa siku hizi wengi wanauza, wala usijisumbue kutongoza, ukielewa mzigo mchane mapema dau ulilonalo then muanze ku bargain
Wala hata, maana nmemwambia Kesho nitamjuza Lodge gan aje na akakubali na ananiomba nisimuangushe .Huyo ameamua kufukuza nzi