Milioni 3 na mbususu wapi na wapi? Wanawake badilikeni

Milioni 3 na mbususu wapi na wapi? Wanawake badilikeni

Mkuu , Baada ya kunichukulia poaaaa ,nilitemana naye..

Hakutaka hata salamu Wala nn ....

Ndo Jana kunitafuta ghafla.

Labda niseme hivi, huyu Manzi Mama yake aliugua ,bahati mbaya akaja kulazwa Hosp napofanya Mimi.

So Manzi ndo kunijulia hapo na pia Kuna vigharamagharama Fulani ivi nikawa navicover kimtindo Kwa ajili ya Mama yake.

Wakatolewa bado akaendelea kua kimya ,namm nikawa nipo kimyaa.

Sasa Jana sms yakwanza baada ya Salam nihiyo .

Wee unafanyaje ??...yaan chukulia mfano, una jamaa ni mwanao, hamuwasiliani hata , alafu baada ya miezi anakutafuta Kwa sms yakwanza tu "Hela".

Unajua watu wengi wanafel sehem ndogo, hawajui kulinda Mahusiano, nadhani TUNACHUKULIANA POA POA SANAAA MPAKA SHIDA IKUKAMATE NDIO UNAONA UMUHIMU WA MTU
Ila ungemsamehe tu mkuu.. anaonekana mbona decent tu? sijapenda ulivomsema.

Unajua hawa viumbe ni dhaifu sana.. wana mapungufu mengi sana...
 
Mkuu , Baada ya kunichukulia poaaaa ,nilitemana naye..

Hakutaka hata salamu Wala nn ....

Ndo Jana kunitafuta ghafla.

Labda niseme hivi, huyu Manzi Mama yake aliugua ,bahati mbaya akaja kulazwa Hosp napofanya Mimi.


So Manzi ndo kunijulia hapo na pia Kuna vigharamagharama Fulani ivi nikawa navicover kimtindo Kwa ajili ya Mama yake.


Wakatolewa bado akaendelea kua kimya ,namm nikawa nipo kimyaa.

Sasa Jana sms yakwanza baada ya Salam nihiyo .


Wee unafanyaje ??...yaan chukulia mfano, una jamaa ni mwanao, hamuwasiliani hata , alafu baada ya miezi anakutafuta Kwa sms yakwanza tu "Hela".

Unajua watu wengi wanafel sehem ndogo, hawajui kulinda Mahusiano, nadhani TUNACHUKULIANA POA POA SANAAA MPAKA SHIDA IKUKAMATE NDIO UNAONA UMUHIMU WA MTU
Du noma sana... ila msamehe tu... au msikilize hiyo biashara anayotaka kufungua... maana milioni tatu parefu mno...
 
wanawake wapuuzi sana ndio maana tunawachezea sana na kuwaacha then tunaoa wanawake wenye akili na wife material...
All in all ukiwa na gari wanawake unawala bure 😂😅 yaan hivi viumbe vipumbav sana, nina miaka mingi sijahonga, siwez nichome mafuta nimlishe Savannah halafu tena nimpe na hela 😅😂 nikimuonea huruma sana, namwambia shika 15k kanywe supu tuonane jioni, ndio imetoka hio
 
Hivi mkikutana na hao wanawAKE AJALI... HUWA MNAOMBAJE MZIGO? MAANA MIMI NAKUTANA NA PISI KALI ILA NAOMBA MZIGO WANANINYIMA.. SASA SIJUI NAKOSEA WAPI.

Kuna hii toto moja hapa ni kali... nimeibembeleza ila wapi... mwishowe anaanza kuniambia ananichukulia kama kaka yake.. yaaani dah... sijui wananiona kibwengo? hahahahahaha
utakuwa unamkono mfupi naantombe
 
Hiyo inaitwa pay to play, bahili tuu wewe au njaa kali , unaona toto jeupe jeupe mahips wewe unataka udandie tuu, mbunye ya bure kale kwa mkeo uliyemtoa kijijini ambae hata kuvaa viatu hajui
 
Pole sana mkuu,,ila ukweli ni kwamba Kila mwanamke Duniani anapenda pesa hata kama akiwa na pesa yake, ila pesa ya kupewa ni tam zaidi. Tunatofautiana uwezo wa kudhibiti tamaa zetu na fikra za kuchanganua mambo.

Ukiendekeza mambo ya tamaa sana mwishowe ndo kudharilika kama hivi
 
Kuna wana wanajua kuigiza na kupanga scripts za kila scene za matukio yao na hawashtukiwi, kuna wengine wana tia mpaka mimba demu akija kushtuka na kumjua jamaa kipato chake tayari mimba ina miezi mitano.

Kuna pisi mbili zilikuwa kali mtaani pale,enzi zao zilikuwa zinarudishwa na ndinga kali za kila aina,mwisho wa siku wote walizalishwa na waendesha bajaj kudadadeki.
 
Huyu Bidada niliwah fika Ofisi kwake nilikua nahitaji huduma Fulani ivi.

Nilivutiwa naye yaan ni ile Tamaa tu kuona ni jeupe jeupe Nene limejaa mahips matako n.k.


Alinipea namba ila kwenye kumuomba Mzigo akawa mgumu, alafu madharau mengi sana Sijui na kunichukulia poaaa

Unajua Binafsi huwa sitaki kua kama nanunua, Huwa napenda nimjali mwanamke Kwa Msukumo wa Moyo wangu sio sababu ana K !! Ndio kama K si zipo nyingi yanini Sasa habari za 'fanya hivi fanya vile, aaa bwanaa wewe wengine kamba zetu zinatukutanisha na PISI/VISU mamia Kwa mamia na Kila siku !.



Tuyaache hayo, Siku Kadhaa mbele ndo akapata kunijua Jua hivi naona Sasa akahisi kumuhitaji ndio sehem ya yeye kunipiga......Basi Jana mida ya saa 10 Huyu Bidada Jana anarudia kosa lilelile, "  et Nimkopeshe Milioni 3 za kitanzania jamani, kwamba nikishampa ndio naye anipe mbunye yake " hiiiiiiiiiiiiii Nkoiiii !!!

View attachment 2316571

Wee yaan 3M kisa K , sibora mtu anaingia Kwa makubaliano mengine ? Hahaha
Yaan 3M kisa K ?? K ?? Uwiii Mimi sio Bachela nahata kama ningekua Bachela, Mimi sijafikia hatua ya kutoa Pesa Et ndio nipewe K .


Haaaaa Bora kama angekua anauza, ningeenda Moja Kwa Moja kwenye 'Bei', ila Mimi mwenyewe nikutongoze, maana yake nimeamua Kwa Dhamira yangu, wee badala ya kuacha Nikupe Mimi Hela, anataka kulazimisha nitoe Hela kisa mbunye ??.


View attachment 2316568

Alafu nyie Wanawake sikilizeni na heshimuni sana watu , acheni dharau na mbwembwe , Sio mpaka uone mtu ana ndinga ndo uheshimu .yaan Kwa akili ya chekechekea tu Hivi mtu kama Mimi kama siendeshi Gari, Huoni ni maamuzi yangu tu kwamba Pesa yangu Kuna Mahali nimeielekeza ??!!. Haya mambo ya kuheshim watu kisa mnaona wanavitu, matokeo yake "Mmelika Bure sababu jamaa mjini wanaadhima ndinga hawana Hela sana sana atakununulia Pombe na Kitimoto ;!!!!".
unakuta demu anakuchukulia poaaaa kisa unendesha Boxer , baadae akishakujua vizuri kwamba wewe nani, una nn, na nn ,ndo anaanza kukuzoea Kwa speed ya 6G .....

et unakuta Manzi una namba yake naye anayako, huenda unamsalimia lkn anauchuna au yeye tu Salam hamna, alafu Kesho na kesho kutwa anapigwa na kitu kizito kinachohitaji Pesa, hapo ndipo anakumbuka Kuna Boyaa anaitwa Carlos The Jackal hiiiiiiii Nkoiii wasukuma tumeongoza Nchi Kwa miaka 5 !!. Na Si tu KUONGOZA Bali tulitoa Uongozi ambao utaendelea kua Kumbukumbu Kwa vizazi na vizazi hapa Nchini kama uongozi Bora na wakuigwa !!.
Mvulana kakua
 
Back
Top Bottom