Milioni 3 na mbususu wapi na wapi? Wanawake badilikeni

Mkuu , Baada ya kunichukulia poaaaa ,nilitemana naye..

Hakutaka hata salamu Wala nn ....

Ndo Jana kunitafuta ghafla.

Labda niseme hivi, huyu Manzi Mama yake aliugua ,bahati mbaya akaja kulazwa Hosp napofanya Mimi.

So Manzi ndo kunijulia hapo na pia Kuna vigharamagharama Fulani ivi nikawa navicover kimtindo Kwa ajili ya Mama yake.

Wakatolewa bado akaendelea kua kimya ,namm nikawa nipo kimyaa.

Sasa Jana sms yakwanza baada ya Salam nihiyo .

Wee unafanyaje ??...yaan chukulia mfano, una jamaa ni mwanao, hamuwasiliani hata , alafu baada ya miezi anakutafuta Kwa sms yakwanza tu "Hela".

Unajua watu wengi wanafel sehem ndogo, hawajui kulinda Mahusiano, nadhani TUNACHUKULIANA POA POA SANAAA MPAKA SHIDA IKUKAMATE NDIO UNAONA UMUHIMU WA MTU
Ila ungemsamehe tu mkuu.. anaonekana mbona decent tu? sijapenda ulivomsema.

Unajua hawa viumbe ni dhaifu sana.. wana mapungufu mengi sana...
 
Du noma sana... ila msamehe tu... au msikilize hiyo biashara anayotaka kufungua... maana milioni tatu parefu mno...
 
wanawake wapuuzi sana ndio maana tunawachezea sana na kuwaacha then tunaoa wanawake wenye akili na wife material...
All in all ukiwa na gari wanawake unawala bure 😂😅 yaan hivi viumbe vipumbav sana, nina miaka mingi sijahonga, siwez nichome mafuta nimlishe Savannah halafu tena nimpe na hela 😅😂 nikimuonea huruma sana, namwambia shika 15k kanywe supu tuonane jioni, ndio imetoka hio
 
utakuwa unamkono mfupi naantombe
 
Hiyo inaitwa pay to play, bahili tuu wewe au njaa kali , unaona toto jeupe jeupe mahips wewe unataka udandie tuu, mbunye ya bure kale kwa mkeo uliyemtoa kijijini ambae hata kuvaa viatu hajui
 
Pole sana mkuu,,ila ukweli ni kwamba Kila mwanamke Duniani anapenda pesa hata kama akiwa na pesa yake, ila pesa ya kupewa ni tam zaidi. Tunatofautiana uwezo wa kudhibiti tamaa zetu na fikra za kuchanganua mambo.

Ukiendekeza mambo ya tamaa sana mwishowe ndo kudharilika kama hivi
 
Kuna wana wanajua kuigiza na kupanga scripts za kila scene za matukio yao na hawashtukiwi, kuna wengine wana tia mpaka mimba demu akija kushtuka na kumjua jamaa kipato chake tayari mimba ina miezi mitano.

Kuna pisi mbili zilikuwa kali mtaani pale,enzi zao zilikuwa zinarudishwa na ndinga kali za kila aina,mwisho wa siku wote walizalishwa na waendesha bajaj kudadadeki.
 
Mvulana kakua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…