Milioni 3 na mbususu wapi na wapi? Wanawake badilikeni

Yaan umeombwa ka milioni 3 umekimbilia kuja kutangaza huku JF kweli ushamba ni mzigo ila umaskini ni gunia la misumari ya moto!
Hapa ndipo utatofautisha Mwanaume na Mvulana. Mleta mada ni Mvulana hajafikia hadhi ya kuitwa Mwanaume. Over📌
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Aisee [emoji119]
 
Yaan umeombwa ka milioni 3 umekimbilia kuja kutangaza huku JF kweli ushamba ni mzigo ila umaskini ni gunia la misumari ya moto!
Umezaliwa pekeako utakufa pekeako. M3 Zina matumizi mengi ya msingi ambayo yatakunufaisha mbeleni kuliko kumpa malaya ambae hujui mmeombwa wangapi hiyo m3. Hizo m3 bora ukamtibishie yule dem wako majini kuliko kuhonga kk.
 
Kuna watu mna moyo,yaani utoe mil 3,labda uwe hizo hela unapata bure,au ni fisadi.

Wanawake Malaya wana msemo "usionee hela ya mwanaume huruma" au "hela zake hazinaga kazi yule "
Wakiambiana hivo wanawafuata wazembe wazembe kama nyie wanawapiga hela.

Watu kama nyie hataa ndugu zenu hamuwajali,wana dhiki mpk kwenye kope za macho 😝
 
Yaani ungempa tu angekuona boya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ukweli ni kwamba wanawake Huwa wanawaona wanaume wote wanao wahonga honga Pesa hovyo kuwa ni wanaume wajinga na wasiojielewa kabisaa, na Wanajua mwanaume yupo mjanja yupi bwege

Halafu ungempa hizo pesa baada ya kumla mara 1 angeanza kukupiga sound na kukukimbia
 
Kwenye hoja yako mbona hakuna win win. Ama maana ya neno win win situation imebadilika
 
Nenda kamgonge andaa 150k tu 50k room 50k chakula na vinywaji , then 50k mpe baada ya show Kali , then muahidi hiyo ml 3 utakuja kumpa baada ya siku 3 .. Baada ya hapo mkiondoka mpige tofali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hapa ndipo utatofautisha Mwanaume na Mvulana. Mleta mada ni Mvulana hajafikia hadhi ya kuitwa Mwanaume. Over[emoji419]
Acheni kujikuta wakina HASH PAPY kwa pesa gani mlizonazo mpaka msiwaze kutoa m3. ? Acheni kuigiza maisha . Mishahara yenu ya miezi miwili haifiki m3 afu ukazihonge kwa siku1 tu?. Afu kesho muanze kusumbua taasisi za kifedha kutafta mikopo!
 
Ishini nao kwa akili....
 
Wasukuma tumejanjaruka nowdayz! Tumetoa dozi ya miaka mitano murua kabisa.wasituchukulie poa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni kujikuta wakina HASH PAPY kwa pesa gani mlizonazo mpaka msiwaze kutoa m3. ? Acheni kuigiza maisha . Mishahara yenu ya miezi miwili haifiki m3 afu ukazihonge kwa siku1 tu?. Afu kesho muanze kusumbua taasisi za kifedha kutafta mikopo!
Jf kila mtu tajiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…