Milioni 3 na mbususu wapi na wapi? Wanawake badilikeni

Milioni 3 na mbususu wapi na wapi? Wanawake badilikeni

Nimesema mwanzo, Mimi Sina habari za kukufukuzia wiki, mwezi ,miezi, Sinaga... Na Kwa kadiri siku zinaenda huenda nitakua nikishaongea Mara Moja, hueleweki naacha ujitafakari mwenyewe.

( Kama umesoma na kuelewa Uzi wote ).. niyeye aliyenitafuta baada ya ukimya wake wa muda mrefu .

Hata hivo Nikitaka nimtie Leo namtia , in facts yeye sio wakwanza au wa mwisho kua na Mwanaume na Bado akalika... Haya mambo ni maelewano tu.


Na ndio Sababu hata yeye nilipomwambia Leo tuonane. Lodge, kakubaki na ananisihii sana, "Ukishachukua chumba niambie ".


ukweli ni kwamba, huyu anahisi Mimi mjinga.
Chukua room mtafune halafu mpe nauli tu, na hakuna kitu atafanya. Hiiiiiiii...nkoiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguza makasiriko dokta,

Imeandikwa "muishi nao kwa akili"
Na hizi ndo akili zenyewe Sasa.

Sasa unataka mpk utamkiwe kwamba "nauza uchi kwa mil.3" ili isaidie Nini?

Wee jikadirie tu,
Kama uwezo unao, na mbunye yake Ni kipaumbele kwako.

Wee mpe tu ila hakikisha unamfuja ipasavyo mpk ufidie ile thamani halisi ya pesa yako.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oya toa milion 3 hiyo ukigawanya kwa mwaka ni 250000 kila mwezi ukiwa unamla mara 3 kwa mwezi ni 83000 kila mnapokutana hiyo ni jumla ya pesa ya lodge, Savannah na kitimoto na nauli yake kabisa kakubalansia [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Hesabu iko balanced kabisa,
Sema Changamoto ya hela za mkupuo, mwaka mzima hatoboi lazima Mwanamke ataomba nyingine.

Hapo ndo hesabu zitaingiliana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni kujikuta wakina HASH PAPY kwa pesa gani mlizonazo mpaka msiwaze kutoa m3. ? Acheni kuigiza maisha . Mishahara yenu ya miezi miwili haifiki m3 afu ukazihonge kwa siku1 tu?. Afu kesho muanze kusumbua taasisi za kifedha kutafta mikopo!
Hahahh kazi kweli. Uhonge ml 3 ili uvumbue nini labda?
 
Ukishampa baada ya mwezi anabadilika anakukwepa mzee baba huo ni mtego tu.
Ukishampa baadae anaanza maneno ya nyodo"Kwa hiyo kwa vile ulinisaidia hicho kimilioni 3 chako ndio unataka unisumbue tugandane kama ruba,si ndio"
Na kwa vile umempa mwenyewe kwa ridhaa yako huna pa kumshitaki.
🤣🤣 Mara biashara imeyumba
 
Combo pack😂😂..sema nini umeenda kasi sana,ungemwambia aje muongee kwanza ila usimamalize mazungumzo siku moja,then ungekuja kuichakataa mbususu kirahisi sana bila hata mia
Hahaha Cha mwaka ,Sasa Sijui Kwa Wife wangu nitakua sipigi
 
Kuna watu mna moyo,yaani utoe mil 3,labda uwe hizo hela unapata bure,au ni fisadi.

Wanawake Malaya wana msemo "usionee hela ya mwanaume huruma" au "hela zake hazinaga kazi yule "
Wakiambiana hivo wanawafuata wazembe wazembe kama nyie wanawapiga hela.

Watu kama nyie hataa ndugu zenu hamuwajali,wana dhiki mpk kwenye kope za macho 😝
Bora umempa za USO
 
Yaani ungempa tu angekuona boya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ukweli ni kwamba wanawake Huwa wanawaona wanaume wote wanao wahonga honga Pesa hovyo kuwa ni wanaume wajinga na wasiojielewa kabisaa, na Wanajua mwanaume yupo mjanja yupi bwege

Halafu ungempa hizo pesa baada ya kumla mara 1 angeanza kukupiga sound na kukukimbia
Ndioo mkuu
 
Sawa Boss, ngoja niwe mvulana!!

Lkn nyie ndo humuhum mmemlaumu SAMIA kwakutoongeza mshahara
Ungekaaa na manguli wakupe weledi na akili ya kiume siyo kulia lia unashusha hadhi ya Wanaume Mkuu na huduma ungeipata kwa unyooooofu bila shida
 
Aise usinikumbishe majanga yangu ya laki tatu....mwanamke mshezi kweli yule😭😭😭😭
Alafu hawa warembo wanadhani pesa tunachuma tuu.
Takers have no shame


Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani
 
Nenda kamgonge andaa 150k tu 50k room 50k chakula na vinywaji , then 50k mpe baada ya show Kali , then muahidi hiyo ml 3 utakuja kumpa baada ya siku 3 .. Baada ya hapo mkiondoka mpige tofali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣Baadae yatafuata matusi hayo
 
Acheni kujikuta wakina HASH PAPY kwa pesa gani mlizonazo mpaka msiwaze kutoa m3. ? Acheni kuigiza maisha . Mishahara yenu ya miezi miwili haifiki m3 afu ukazihonge kwa siku1 tu?. Afu kesho muanze kusumbua taasisi za kifedha kutafta mikopo!
👊👊
 
Back
Top Bottom