Milioni 3 na mbususu wapi na wapi? Wanawake badilikeni

Utampa hio milion 3 na bado akaomba ten hela matumizi mengine wanawake wanadharau sana pesa.
Kabisa Mkuu, mwanamke unaweza kumpa pesa inayomfanya aendesha maisha yake kila hata kwa kumpatia kidogo kidogo alafu anasahau na kukuona haujafanya chochote. Nilikuwa na mahusiano na mwanamke kwa miaka mitatu kwa kipindi chote hicho hakuwahi kutumia pesa yake kwa mahitaji niseme madogo madogo hata chakula nilikuwa nagharamia. Lakini alikuja kunizarau sana na kuniambia nipigr hesabu alipe kiasi cha fedha nilichotumia katika muda wote huo. Nikaone huu ni ujinga. Bado nipo naye lakini amepunguza thamani yake kwangu, "nahusiananaye kwa akili" hawa watu baadhi yao ni wainga sana.
 
Naupitia Huu uzi !! Niongeze maujuzi
 
Aise usinikumbishe majanga yangu ya laki tatu....mwanamke mshezi kweli yule😭😭😭😭
Alafu hawa warembo wanadhani pesa tunachuma tuu.
Takers have no shame.
Na ukiruhusu mazoea atakuja na kukupiga laki tatu nyingine, tena huku analalamika kua "wewe ni mchoyo"

Proffessional beggers, proffessional takers, money vampires.
 
Hahaha kwamba uitifuefue mpaka baasi . Sema nn, K haikomolowi Mkuu!!
 
Jus nilikopwa laki nikamwambia Sina akasema nipe yeyote ile uliyonayo bas nikasema ipo shiling elf 30 alfu kumbuka siyo demu wangu.nikamuambia aje gehto kuchukuwa ndiopo akanijibu shindwa kwa damu ya yesu

Nikamuuliza ukitka nikupe bure hyo 30 nn
 
ni kitu ambacho ni impossible
Hiyo ni impossible tense kabisa. Kwanza mwanamke anayeomba kila mara hafai, ni bora kutafuta mwanamke ambaye ukimhitaji mnakamuana mkitoka unampa chake life linasonga. Hizi mambo za every now and then mara 50k mara 100k, huo uchumi uko wapi wa kutoa pesa hovyo.
 
Alishakudharau ndio amaana alitaka kukupiga mzinga. Aliona we kama wakuja tu. Sema amegonga kisiki cha mpingo.

Na nyie wanawake hivi hizo K ndio hizi hizi tunazopiga kila siku au ni za aian nyingine🤣🤣
 
Kwani wewe na mzazi wake unampa hadi hela ya kula,? Mambo mengine mnajitakia tu
 
[emoji13][emoji13][emoji13]mwanamke akikuona huna gari anakuona wewe ni Mandonga mtukazi tu na wanadharau hao.

Baadae akikujua kiundani upo vyema anaanza kujichekelesha
Jamaa umenichekesha sana
 
Jus nilikopwa laki nikamwambia Sina akasema nipe yeyote ile uliyonayo bas nikasema ipo shiling elf 30 alfu kumbuka siyo demu wangu.nikamuambia aje gehto kuchukuwa ndiopo akanijibu shindwa kwa damu ya yesu

Nikamuuliza ukitka nikupe bure hyo 30 nn
Siku hizi mimi hata buku sitoi. Kwanza nina mke wangu nyumbani ananipenda wamebaki kunimezea mate tu.
 
Jus nilikopwa laki nikamwambia Sina akasema nipe yeyote ile uliyonayo bas nikasema ipo shiling elf 30 alfu kumbuka siyo demu wangu.nikamuambia aje gehto kuchukuwa ndiopo akanijibu shindwa kwa damu ya yesu

Nikamuuliza ukitka nikupe bure hyo 30 nn
Sasa kumbe wenyewe ndio mnawajengea kuwa mkiwapa hela lazima waje ghetto, wanarahisisha kuwaambia muwape hela waje ghetto bado mnaanzisha Uzi, mnataka wafanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…