Milioni 3 na mbususu wapi na wapi? Wanawake badilikeni

Na hii Mentality yao ya "Kupewa tu".... unajua Kuna ile Mtu ni wako sometime mnaonana unajipigia na unamuachia Kidogo , huyu Hata akiwa na shida unamsikiliza .


Lkn aina ya huyu Bidada, aisee ni Bora aende Moja Kwa Moja kua "Anauza"...Sasa hapo tuna bargain kwamba Kila nikitaka kukojoa, nimvue Kwa shi ngapi.
 
Kifupi ni kifurushi laki mbili na nusu Kwa mwezi!
Mwamba amka kimbia hakufai huyo!
 
Jus nilikopwa laki nikamwambia Sina akasema nipe yeyote ile uliyonayo bas nikasema ipo shiling elf 30 alfu kumbuka siyo demu wangu.nikamuambia aje gehto kuchukuwa ndiopo akanijibu shindwa kwa damu ya yesu

Nikamuuliza ukitka nikupe bure hyo 30 nn
Mkuu nmefurahi kuona na wewe Huu uzoefu umekupata.

Kuna Wanawake wanapenda Pesa za wanaume lkn wao vyao hawataki kutoa.


Mmoja Jana baada ya ukimya wake Et ndo ananitafuta

"óhooo Mdogo wangu anaharusi naomba unishike mkono"

Nikamuuliza, ndivo ulivyofunzwa kwenu??

Siku zote za ukimya naleo ndo umeona unitafute , bila salama umeanza nashida?

Óhooo nisamehee ..óhooo nilikua naumwa óhooo nini..

Nikaona nisionge sana... Nikamuuliza Shi ngapi??

Akasema 50K, nikamwambia ok ,utakuja Lodge Fulani.


Demu akaanza "Umeona Mimi Malaya sana, Mimi sijiuziii, komaaaa mpumbavu wee".


Sikumjibu kitu.


Baadae amejishtukia mwenyewe akaniambia 'Nikiea tayari nimjuze'.

Mtu wa hivi, ukimla alafu nisimpe mia, atanilaumu??
 
Mkuu mbona wako wengi hao.
Akiwa mzuri mzuri kajaa jaa basi mtaji wa kukopa kwa malipo ya sex.
Hata mkiandikishana hairudi hiyo.
 
Huyu wa hivi kwangu ni poa kabisa, 50k ipo namuita njoo Lodge xx nikimaliza natia 50k kwa handbag yake siku imeisha tusitafutane hadi niwe na genye, akiwa na genye kama sina namwambia mimi sina pesa, subiri nikipata nakushtua.
 
Huyu wa hivi kwangu ni poa kabisa, 50k ipo namuita njoo Lodge xx nikimaliza natia 50k kwa handbag yake siku imeisha tusitafutane hadi niwe na genye, akiwa na genye kama sina namwambia mimi sina pesa, subiri nikipata nakushtua.
Hii imekaa njema sana Kwa zama zetu hizi
 
Umeharibu hapo mwishoni. Magu alikua tatizo hapa nchini.
 
Kwa majibu hayo ndiyo maana wanawake wanauliwa na kutupwa barabarani au Guest, Utasikia mwanamke kauliwa Guest mara nyingi wanakuwa wanawake kama huyu tunae mjadili, anakula pesa ya watu mwisho wa siku anajibu jeuri .
 
Huyo n tapeli Kama matapeli wengine Hana tofauti na wazee wa tuma kwa namba hiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…