Si mtapata mabikra 72 au!!?? Ha ha ha ha hizi dini mbili hizi kwa uongo hazijambo!Hao mazayuni hawajaua vipenzi vyetu wa kiajemi?
Usisahau tutakavyokuwa tunagaragara kando ya kijito kinachotiririsha mvinyo huku wachuchuu wanatushikashika videvu kwa huba la hali ya juu sana.Si mtapata mabikra 72 au!!?? Ha ha ha ha hizi dini mbili hizi kwa uongo hazijambo!
Mkuu,kumbuka kwamba kipigo walicho kipata Wayahudi kutoka kwa Iran kiliwatia sana aibu, maanake wao ndiyo walikuwa wanajifanya vifaru mashariki ya kati na jeuri juu - sasa ndiyo maana wana resort kwenye kutumia overt na covert actions/operation kama njia ya kutaka kulipiza kisasi kutokana na madhara makubwa ya kuharibiwa infrastructures zao nyeti za kijeshi na kiraia kutokana na makombora ya IranKumbe Bado wanazichapa kimyakimya!!!
Aisee!Ni kweli mazayuni yalipigwa sana hadi yakaacha kuendelea na mradi wao wa nyuklia.🫸🫷😎Mkuu,kumbuka kwamba kipigo walicho kipata Wayahudi kutoka kwa Iran kiliwatia sana aibu, maanake wao ndiyo walikuwa wanajifanya vifaru mashariki ya kati na jeuri juu - sasa ndiyo maana sana resort Latinos overt na covert actions/operation Kama nia ya kulipiza kisasi Kia lavishes na makombora ya Iran na NATO Wayahudi wataendeleza Hakuna zao za kificho dhidi ya Iran, Wait and wawe macho Sana na jamaa hawa, so watu wazuri hata kidogo.
Yaani wewe kitu inaitwa ilim duniya imekaa pembeni kabisa yaani kwa namna unavyoongeq inathibitisha utakuwa mwenyekiti kwenye vijiwe vya gahawa.Israel hawezi vita ataishia kutumia njia za ugaidi wa kulipua huku na huku ndicho anacho kiweza. Mwambie kama mwanaume akashambulie kama alivyo shambulia Syria kwa ndege zake.
Kwani hakuishambulia Iran na kuua wakuu wa majeshi huko ?!.Israel hawezi vita ataishia kutumia njia za ugaidi wa kulipua huku na huku ndicho anacho kiweza. Mwambie kama mwanaume akashambulie kama alivyo shambulia Syria kwa ndege zake.
Iran Ina nuke site nane ni tatu tu ndio zimeharibiwa incase hujui for your pity ignorance.Aisee!Ni kweli mazayuni yalipigwa sana hadi yakaacha kuendelea na mradi wao wa nyuklia.🫸🫷😎
Baada ya kuua makamanda kilimkuta nini?Kwani hakuishambulia Iran na kuua wakuu wa majeshi huko ?!.
Iran atajuta kumtunishia misuli Israel.
We ukiwa ma elimu nilio nayo mimi usinge ongea uharo huo. Kwa hio kitu gani anacho fanya Israel huko Iran ukaona cha mana ugaidi. Unampiga mtu afu unajificha kwa kutumia wananchi wa kiyahudi ambao wanapewa haki zote Iran. Unataka Iran ianze kuwashambulie afu mlalamike anawaonea wayahudi wenye asili za Iran.Yaani wewe kitu inaitwa ilim duniya imekaa pembeni kabisa yaani kwa namna unavyoongeq inathibitisha utakuwa mwenyekiti kwenye vijiwe vya gahawa.
Kwa hali ya kawaida unaposema mwambie akapige unataka nani ambwambie?