Milipuko ilitokea Kwenye Miji Mitano Ya Iran: Tehran, Karaj, Qom,Mashhad,Tabriz

Hahahaa haya bana. Ukifika kwa mtume unashika break
Mtume Muhammad alikuwa ni mfano hai kwa Waislamu katika uadilifu, uaminifu, unyenyekevu, ukarimu, subira na mengine mengi. We huoni walio mfata wamefanikiwa achanaa na kanga zinazo toka kanisani walizo tengeneza wao na wayahudi eti hadithi za bukhari na sahihi muslim.

Njoo kwenye uislam uongoke wewe kabla hujatiwa kwenye box.
 
We ulishawah kuonana na Muhammad chief
 
Watu wasiopungua saba wamejeruhiwa katika mlipuko uliotokea kwenye jengo la makazi pembezoni mwa mji wa Qom, Iran, kwa mujibu wa vyombo kadhaa vya habari vya Iran.

Angalau magari matano ya dharura yalipelekwa katika eneo la tukio baada ya mlipuko wa Jumatatu katika makazi ya Nasim Pardisan kuhudumia majeruhi, Shirika la Habari la Wanafunzi wa Iran (SNN) liliripoti likimnukuu Dkt. Mohammad Javad Bagheri, mkuu wa Huduma za Dharura za Qom.

===
At least seven people have been injured in an explosion at a residential building on the outskirts of the Iranian city of Qom, according to several Iranian news outlets.

At least five emergency vehicles were dispatched after Monday’s blast to the Nasim Pardisan residential complex to attend to the injured, Iran’s Student News Network (SNN) reported, quoting Dr Mohammad Javad Bagheri, head of Qom’s Emergency Services.
View attachment 3408785
Source Aljazeera, 14 July, 2025
Hao itakuwa magaidi wa Netanyau ndio wamefanya hivyo

Ila Sasa hivi hajaacha ushahidi angeacha ushahidi kama ule ugaidi aliyoufanya wa kulipua viongozi wa Iran wakiwa maofisini kwao

Ayatollah angeenda kumalizia kazi aliyoianza
 
Wewe uliwahi kuonana na Paulo
Cjawah. Na ndio maana ctumii nguvu nyingi kukuambia hadithi nilizozikuta. Wewe na mkristo hamna tofauti wote mmeambiwa au mmerithi stori ambazo hamna uhakika nazo. So punguza pressure mzee.
 
Nani kakuambia tumerithi story hatuna uhakika nazo, tatizo kila mtu kapewa akili ni namna yeye anavyo itumia. We ukijiona uko tofouti na wenzako ni mambo mawili au hazikutoshi au unakasoro flani tu za uchizi. Ndio sababu Mungu alisema haweizekani mwenye elimu awe kama hana elimu. Wewe unaye bisha hizo Story ulifanya wapi research zako mpaa ukasema hizo ni story tu.
 
Hapo ndipo uzwauzwa unapokujia. Unajua unaposema imani unamaanisha ni jambo la kusadikika maana ni story aliyoqmbiwa mtu nae kaja kukuambia so unachaguq kukubali au kuzikataa.
 
Hata elimu basi ni hivyo hivyo kwanini unawamini wana science wakati vitu vingine wakiongea sio sawa. Akili ndio inaweza kupima sio science wala nini. Mimi akili yangu nikisoma Qur'an naiona inavyo tuliza roho yangu namini hichi kweli kitabu cha Mungu. Unajua Qur'an ukisoma ukatulia utaona kweli unaongea na Mungu.
 
Gaidi kobazi khamenei ameamua kuua raia zake kama panya
 
Hata elimu basi ni hivyo hivyo kwanini unawamini wana science wakati vitu vingine wakiongea sio sawa. Akili ndio inaweza kupima sio science wala nini. Mimi akili yangu nikisoma Qur'an naiona inavyo tuliza roho yangu namini hichi kweli kitabu cha Mungu. Unajua Qur'an ukisoma ukatulia utaona kweli unaongea na Mungu.
Mungu ninani
 
Mtu akifikia kusema Mungu nani ujuwe hayuko sawa tafuta madaktari wakusaidie
We kenge kweli ndio maana nakuambia mmezoea kulishwa. Do you think hii dunia ina dini mbili tu. Zipo dini nyingi na kila moja inadai Mungu wake ndio wa kweli. Sasa wewe kwasababu umekaririshwq story hujawah kutoka ndani ya box kutaka kujua ukweli Ulivyo. Au unafikiri wazee wetu mpkq hiz die za majahaz zinakuja hwakuwa na Mungu
 
Kenge kawa mamba sasa hahaha kwa hio babu zako waliamini masanamu na nyoka sio
 
Nani kakuambia mimi naamin masanamu. Mi kwetu mpaka kesho tunafanya mila kilimanjaro moja. Habar ya kuabudu mashetan ya kiarabu na kuyaita Mungu kwetu hatuna
 
Si ndio sababu huwa hamna aibu hata mshikaki unataka ununue nusu ya bei walio nunua wenzako. Hamna aibu kabisa hata upo tayari kugawa mnofu upate pesa tu. Dini kitu muhimu sana ufate dini ya Mungu mambo yanakunyokea shwarìiii kabisa.
 
Back
Top Bottom