Milipuko ilitokea Kwenye Miji Mitano Ya Iran: Tehran, Karaj, Qom,Mashhad,Tabriz

Milipuko ilitokea Kwenye Miji Mitano Ya Iran: Tehran, Karaj, Qom,Mashhad,Tabriz

Yaani wewe kitu inaitwa ilim duniya imekaa pembeni kabisa yaani kwa namna unavyoongeq inathibitisha utakuwa mwenyekiti kwenye vijiwe vya gahawa.
Kwa hali ya kawaida unaposema mwambie akapige unataka nani ambwambie?
Ona huyu mpuuzi mwingine.
Ndio umeropoka nini sasa hapo?
Israel inafanya mashambulizi ya kigaidi kwa kulipua maeneo ya kiraia.
Afanye mashambulizi ya wazi kama kweli anajiweza.
Mbaya zaidi Iran ndio nchi ya pili yenye idadi kubwa ya Jews ukiondoa Israel, anachofanya Iran ni kuteteresha usalama wa jamii ya kiyahudi iliyopo Iran.
 
Kwani hakuishambulia Iran na kuua wakuu wa majeshi huko ?!.
Iran atajuta kumtunishia misuli Israel.
Alishambulia wakati Iran alikuwa kwenye mazungumzo na US, Iran ilikuwa haitegemei itashambuliwa si na US au Israel. Kwa sababu US alikuwa anasema Israel hawezi kuishambulia Iran wakati sisi tuke kwenye mazungumzo kwa hio alienda kiwizi wizi kwa kunyatia na US alikuwa anamuambia Iran hakuna kitakacho tokea kumbe anamtuma Israel kushambulia. Swali aliye anza vita ndiye aliye omba ceasefire hahaha chezea Iran wewe.
 
Kwasasa taifa tuliopigiwa nyimbo tamu tamu kuwa moja ya mataifa yenye nguvu sana Duniani lenye technology kwenye nyanja zote muimu ikiwemo ulinzi wake !!!

Ata tukaambiwa amewai chapa Warabu nchi 4 ndani ya siku 6 tu.!!!

Sisi wengine ujinga atupendi maisha yetu atukuwai kuamini upumbavu kama huo!!
LEO
tukionacho kinashangaza sana kwanza linasaidiwa waziwazi na nchi za NATO yani Magharibi kupigana tu na mgambo wa Hamas ¿¿

Taifa la mchongo ikavamia Iran

loooo kumbe Ulinzi wake ni O imepigika vibaya ndani ya siku 12 ¿¿ tu Babake karusha taulo kumuokoa Mtoto wake baada kipondo chakushangaza Dunia !!

mpigaji yani Iran yupo km 2000+ lkn miji yake Israel taifa teule inawaka MOTO ¿¿

tumekuja kushtuka kumbe Baba wa kweli wa Technology ni IRAN ,

Taifa la mchongo na dogo kitechnology ya kijesh baada ya kufilimbwa mchana kweupe Sasa wamegeukia Ugaid !!!

Habari mpya kwasasa taifa teule la Mchongo lipo kwenye mtikisiko wa kifo
Limeamua kupigana kizaifu zaifu kama zaifu wengine kwamaana ya UGAID !!

kweli muda ni mwalimu mzuri!!

yani linavizia mtu kalala na watoto wake wanamrushia Boom kizani !!

mtendaji aya anajua kabisa akikamatwa ni kifo tu lkn watafanyeje na ndio uwezo wao kwasasa dhidi ya Iran !!!

aya yote yanafanyika na DUNIA inaona kumbe ilikuwa mbwembwe tu ohhh Israel ohh kuna Mungu wa Israel hooo awawezi Shindwa kabisa wanaweza kupigana na Russia pamoja na Marekani daaa!!!

kimdomooo M'domo MEDIA Vita siku 12 tu wamegeuka MAGAIDI taifa la mchongo kuishi kwake pia kimchongo mchongo!!!!
 
Israel hawezi vita ataishia kutumia njia za ugaidi wa kulipua huku na huku ndicho anacho kiweza. Mwambie kama mwanaume akashambulie kama alivyo shambulia Syria kwa ndege zake.
Pamoja na hayo, Iran naye ni mshamba tu

Kwa nini akubali mazungumzo ya kusitisha vita?

Ka nchi kamejileta kenyewe na kiherehere chake, si angekafuta tu,
 
Pamoja na hayo, Iran naye ni mshamba tu

Kwa nini akubali mazungumzo ya kusitisha vita?

Ka nchi kamejileta kenyewe na kiherehere chake, si angekafuta tu,
Hapo nipo na wewe Iran alitakiwa kukimaliza hicho ki cancer kiliopo Middle East, sababu kilisha ishiwa hata air defense Missiles aliishiwa. Huko nyuma ya Pazia kuna pesa sijui kambiwa Iran atapewa labda na Qatar akakubali kusimamisha vita, kwanza Iran alikataa sijui huyu Qatar kampa nini Iran mpaa kakubali kusimamisha vita. Baada ya siku mbili nilisikia Qatar watampa Iran karibu 500 Millions za Kimarekani.
Trump urges Qatar to help him persuade Iran to give up its nuclear program | AP News Trump appeals for Qatar's help in persuading Iran to give up its nuclear program
 
Hao mazayuni hawajaua vipenzi vyetu wa kiajemi?
Hao "vipenzi" vyetu kama ni wanaume hata wakifa, hakuna tatizo; imagine huko unakokwenda baada ya KIFO unakua unajipigia bikra kila siku lakini ya kutolea hutumi, what a lucky? 😃 😀 😄 😁 🤣 😂
 
Hao "vipenzi" vyetu kama ni wanaume hata wakifa, hakuna tatizo; imagine huko unakokwenda baada ya KIFO unakua unajipigia bikra kila siku lakini ya kutolea hutumi, what a lucky? 😃 😀 😄 😁 🤣 😂
Hizi za bikra mmezitolea wapi au zile sahihi muslim na bukhari za kikristo na kiyahudi. Sababu hata Iran wayahudi walipeleka mtu mpa Qur'an anaijua kumbe ni spy wa Mossad, alikuwa akihutubia kwenye Masjid tena kipofu na alikiwa akitoa ishara basi mnashangaa yanatokea.
 
Israel hawezi vita ataishia kutumia njia za ugaidi wa kulipua huku na huku ndicho anacho kiweza. Mwambie kama mwanaume akashambulie kama alivyo shambulia Syria kwa ndege zake.
Mara ngapi mkuu. Fiche basi aibu mtoto wa kiume
 
#Enemy_Media

"Calcalist" Hebrew newspaper: The National Emergency Authority sent a letter explaining that the closure of the Port of Eilat will halt its tugboats and vessels, cut off support for the navy in the Red Sea area, disrupt the Asia-Europe oil pipeline transferring crude from Eilat to Ashkelon, and damage potash exports from the Dead Sea plants, which would then only be possible through Ashdod Port.

#Military_Media
 
Mkuu kwa kiswahili je?
 
Mkuu kwa kiswahili je?
Mamlaka ya Dharula nchini Israel Imetahadharisha kua kusimama Kwa shughuli bandari ya Eliot(ambayo inashambuliwa na Al Houth) kumevuruga usafirishaji wa mafuta kwenda Ulaya ana Asia Kwa njia ya bomba, pia usafirishaji wa bidhaa nje ya Israel, na pia jeshi la Navy litakosa support ya bandari katika bahari nyekundu. Hivyo wao watabidi kumtegemea bandari ya ashdood pekee, hivyo hili ni pigo kiuchumi tayari bandari haina shughuli zozte Kwa Sasa kutokana na mashambulizi ya kutoka Yemeni
 
Back
Top Bottom