Dini ipi ya kweli kila mtu ana dini na kila mtu karithi kitabu na stories nani alimuona Muhammad au Mungu au Yesu akamshuhudia hayo yanayosemwa ni kweli zaid ya stories zile zile zilizipo kila dini. Au hujasafir humu dunian mzee.Si ndio sababu huwa hamna aibu hata mshikaki unataka ununue nusu ya bei walio nunua wenzako. Hamna aibu kabisa hata upo tayari kugawa mnofu upate pesa tu. Dini kitu muhimu sana ufate dini ya Mungu mambo yanakunyokea shwarìiii kabisa.
Israel hawezi vita ataishia kutumia njia za ugaidi wa kulipua huku na huku ndicho anacho kiweza. Mwambie kama mwanaume akashambulie kama alivyo shambulia Syria kwa ndege zake.
Wengi tu walimuona Mtume Muhammad vipi useme hakuna walio muona, hivi we ukenge utaendelea nao mpaa lini.Dini ipi ya kweli kila mtu ana dini na kila mtu karithi kitabu na stories nani alimuona Muhammad au Mungu au Yesu akamshuhudia hayo yanayosemwa ni kweli zaid ya stories zile zile zilizipo kila dini. Au hujasafir humu dunian mzee.
Utawala wa Iran una maadui wengi wa ndani na nje.Huu ni ugaidi.
Majeshi makini hayawezi kutumia mbinu hizi za kigaidi.
Hao waliomuona una uhakika gani si umesimuliwa. Sasa kama wewe na mimi tumesimuliwa unapimaje ukweli kwenye simulizi. Kila mtu hata budha walimuona mtu hata bahai nk nk. So kuwa mpole mzee, we endelea kujifariji. Lakin watu wote tumeridhi hadithi tukaambiwa ni ukweli wenyewe. Hakuna aliyeshuhudia wala kumuona Mungu wakati woteWengi tu walimuona Mtume Muhammad vipi useme hakuna walio muona, hivi we ukenge utaendelea nao mpaa lini.
Anayekushambulia anakupa taarifa! Dah hayaAlishambulia wakati Iran alikuwa kwenye mazungumzo na US, Iran ilikuwa haitegemei itashambuliwa si na US au Israel. Kwa sababu US alikuwa anasema Israel hawezi kuishambulia Iran wakati sisi tuke kwenye mazungumzo kwa hio alienda kiwizi wizi kwa kunyatia na US alikuwa anamuambia Iran hakuna kitakacho tokea kumbe anamtuma Israel kushambulia. Swali aliye anza vita ndiye aliye omba ceasefire hahaha chezea Iran wewe.
Hakupi taarifa ila Iran ilikua ime relax ikijua Kuna amani juu ya yale mazungumzo ambayo ilikua ikifanya na USA.Anayekushambulia anakupa taarifa! Dah haya
We akili zako sijui zimekaa vipi wewe unadhani hizi mbingu na ardhi zilikuja tu hivi hivi au kuna aliye zitengeneza. Hebu wambie wana science watueleze basi mbingu na ardhi zilikuwepo vipi na mpaa leo zipo kama hakuna aliye zitengeneza. Wanasayansi wa kisasa bado hawajafanikiwa kujua asili ya uwepo wa mb8ngu na ardhi karika ulimwengu, licha ya ukweli kwamba wanasayansi na engineer wamepata mafanikio makubwa katika masuala yaliyotumika, na wamefaidika kutokana na kusoma sifa za suala na kutumia nishati mbalimbali za cosmic lakini mpaa mda huu hawana jawabu vipi hi dunia ilikuwepo kama si Mungu ndiye aliye created hi dunia.Hao waliomuona una uhakika gani si umesimuliwa. Sasa kama wewe na mimi tumesimuliwa unapimaje ukweli kwenye simulizi. Kila mtu hata budha walimuona mtu hata bahai nk nk. So kuwa mpole mzee, we endelea kujifariji. Lakin watu wote tumeridhi hadithi tukaambiwa ni ukweli wenyewe. Hakuna aliyeshuhudia wala kumuona Mungu wakati wote
Hayo yote unayosema sina shida nayo. Shida yangu ni hiyo stor yako ya Qur'an. Kama umesafir sana dunian na ukakutana na kuzisoma iman za watu utakuta kila mtu anamsemea Mungu kwa iman yake na kwa uzur wake. So anaamin kwa kile anachoamin ambacho kimsingi amerithi ndicho sahihi. So wewe nawe ni sehem ya hao wote. Hakuna aliyewah kumuona Mungu wala kumuona huyo mwanzilishi wa iman yake. Ni stor anapewa na kitabu na kukaririshwa kuwa hicho alichosoma na kuamin ndio ukweli wenyewe. So swali langu likaja, tofauti yako na hawa wengine ninini? Wakat wote tumelishwa storWe akili zako sijui zimekaa vipi wewe unadhani hizi mbingu na ardhi zilikuja tu hivi hivi au kuna aliye zitengeneza. Hebu wambie wana science watueleze basi mbingu na ardhi zilikuwepo vipi na mpaa leo zipo kama hakuna aliye zitengeneza. Wanasayansi wa kisasa bado hawajafanikiwa kujua asili ya uwepo wa mb8ngu na ardhi karika ulimwengu, licha ya ukweli kwamba wanasayansi na engineer wamepata mafanikio makubwa katika masuala yaliyotumika, na wamefaidika kutokana na kusoma sifa za suala na kutumia nishati mbalimbali za cosmic lakini mpaa mda huu hawana jawabu vipi hi dunia ilikuwepo kama si Mungu ndiye aliye created hi dunia.
Moja ya kanuni kuu za Uislamu ni ule umuhimu wa uhuru wa dini. Mungu aliruhusu katika Qur'an aliposema, Hakuna kulazimishwa katika dini, na pia anayetaka kuamini na anayetaka kukufuru ni shauri yake. Sababu ya kutoa uhuru wa kidini ni kwamba Mungu anamini wazi kama moyo wako una imani huwezi kuwa na shaka na dini yake. We kama unaona upagani ni sawa na moyo umekutuma vile uamuzi ni wako, kama unaona ukristo ni sawa na moyo wako umekutuma vile sawa lakini twende huku na kule lazima kuna dini moja ipo kwenye haki. Dini inayo kataza uzinifu, dhuluma, riba mimi kwa upande wangu namini Uislam ni dini plekee inayo kataza riba, sex kabla ya ndoa, kudhulumu, kataza ulevi, ni dini peke inayo sema ukiona mwanamke inamisha macho chini ukienda kwenye logical ni kweli kabisa ukimtazama sana mwanamke shetani anakupoteza mpaa utazini. Lakini ukimuona mwanamke usimjali unaikwepa zina. Vipi dini ya kwenu uchagani inaushauri upi?Hayo yote unayosema sina shida nayo. Shida yangu ni hiyo stor yako ya Qur'an. Kama umesafir sana dunian na ukakutana na kuzisoma iman za watu utakuta kila mtu anamsemea Mungu kwa iman yake na kwa uzur wake. So anaamin kwa kile anachoamin ambacho kimsingi amerithi ndicho sahihi. So wewe nawe ni sehem ya hao wote. Hakuna aliyewah kumuona Mungu wala kumuona huyo mwanzilishi wa iman yake. Ni stor anapewa na kitabu na kukaririshwa kuwa hicho alichosoma na kuamin ndio ukweli wenyewe. So swali langu likaja, tofauti yako na hawa wengine ninini? Wakat wote tumelishwa stor
Hivyo vitu vyote vipo kwa kila jamii hata kabla ya hizo din kuwepo. Kwa mfano ukienda Japan by nature wanafanya zaid ya hivyo jamii yao na haiamin hicho unachoamin. Unachozungumzia ni kile ulicholishwa. Kwasababu kama hizo ndio sababu ya wewe kuamin basi umepotea. Kingine ninachokukumbusha hakuna din iliyoenezwa kwa kuua watu kama uislam. Muhammad mwenyewe katika siku za uhai wake kapiganisha vita 38. Hamuwez kuruhusu mtu kufuata dhamiri yake zaid ya kuweka sheria mtu akibadili din anauawa. Ndicho wanachofanya Afghanistan, Somalia,Iran, nk nk kwa nchi zile zilizo na waislam wengi ipo kwenye katiba zao. Wanajua siku wakiruhusu hiyo dini inapotea. Kwa hilo ulilosema bora ungeweka wakristo wao hakuna kulazimisha sio uislam.Moja ya kanuni kuu za Uislamu ni ule umuhimu wa uhuru wa dini. Mungu aliruhusu katika Qur'an aliposema, Hakuna kulazimishwa katika dini, na pia anayetaka kuamini na anayetaka kukufuru ni shauri yake. Sababu ya kutoa uhuru wa kidini ni kwamba Mungu anamini wazi kama moyo wako una imani huwezi kuwa na shaka na dini yake. We kama unaona upagani ni sawa na moyo umekutuma vile uamuzi ni wako, kama unaona ukristo ni sawa na moyo wako umekutuma vile sawa lakini twende huku na kule lazima kuna dini moja ipo kwenye haki. Dini inayo kataza uzinifu, dhuluma, riba mimi kwa upande wangu namini Uislam ni dini plekee inayo kataza riba, sex kabla ya ndoa, kudhulumu, kataza ulevi, ni dini peke inayo sema ukiona mwanamke inamisha macho chini ukienda kwenye logical ni kweli kabisa ukimtazama sana mwanamke shetani anakupoteza mpaa utazini. Lakini ukimuona mwanamke usimjali unaikwepa zina. Vipi dini ya kwenu uchagani inaushauri upi?
Hebu nipe dalili nani aliye lazimishwa kuingia uislam?Hivyo vitu vyote vipo kwa kila jamii hata kabla ya hizo din kuwepo. Kwa mfano ukienda Japan by nature wanafanya zaid ya hivyo jamii yao na haiamin hicho unachoamin. Unachozungumzia ni kile ulicholishwa. Kwasababu kama hizo ndio sababu ya wewe kuamin basi umepotea. Kingine ninachokukumbusha hakuna din iliyoenezwa kwa kuua watu kama uislam. Muhammad mwenyewe katika siku za uhai wake kapiganisha vita 38. Hamuwez kuruhusu mtu kufuata dhamiri yake zaid ya kuweka sheria mtu akibadili din anauawa. Ndicho wanachofanya Afghanistan, Somalia,Iran, nk nk kwa nchi zile zilizo na waislam wengi ipo kwenye katiba zao. Wanajua siku wakiruhusu hiyo dini inapotea. Kwa hilo ulilosema bora ungeweka wakristo wao hakuna kulazimisha sio uislam.
Mzee acha kujifurahisha hakuna watoto hapaHebu nipe dalili nani aliye lazimishwa kuingia uislam?
Kuhusu wanao toka kwenye Uislam kwenda dini ukiweza niletea Surah au Aya kwenye Qur'an inasema auliwe njo unibatize nakuwa mkristo hahaha. Tatizo lenu mnafata sana hadithi ziko hadithi nyingi ni fake.na ukitaka kujua hadithi fake katazame je iko sawa na inacho ongea Qur'an kama hukuna ujuwe ni fake hadithi.
Kwa hio na wewe kizee kama mimi safi sanaMzee acha kujifurahisha hakuna watoto hapa