yaani yeye kuvizia vizia titi4tati hawezagiIsrael hawezi vita ataishia kutumia njia za ugaidi wa kulipua huku na huku ndicho anacho kiweza. Mwambie kama mwanaume akashambulie kama alivyo shambulia Syria kwa ndege zake.
Ona huyu mpuuzi mwingine.Yaani wewe kitu inaitwa ilim duniya imekaa pembeni kabisa yaani kwa namna unavyoongeq inathibitisha utakuwa mwenyekiti kwenye vijiwe vya gahawa.
Kwa hali ya kawaida unaposema mwambie akapige unataka nani ambwambie?
FYI Aljazeera ndio chombo kinachopokea tuzo tena zilizoanzishwa New York ya chombo cha habari bora ulimwenguni.Na Umri Huo Bado Unaamini Al Jazeera Kama chombo chako Taarifa za uhakika?
Alishambulia wakati Iran alikuwa kwenye mazungumzo na US, Iran ilikuwa haitegemei itashambuliwa si na US au Israel. Kwa sababu US alikuwa anasema Israel hawezi kuishambulia Iran wakati sisi tuke kwenye mazungumzo kwa hio alienda kiwizi wizi kwa kunyatia na US alikuwa anamuambia Iran hakuna kitakacho tokea kumbe anamtuma Israel kushambulia. Swali aliye anza vita ndiye aliye omba ceasefire hahaha chezea Iran wewe.Kwani hakuishambulia Iran na kuua wakuu wa majeshi huko ?!.
Iran atajuta kumtunishia misuli Israel.
Kwasasa taifa tuliopigiwa nyimbo tamu tamu kuwa moja ya mataifa yenye nguvu sana Duniani lenye technology kwenye nyanja zote muimu ikiwemo ulinzi wake !!!
Pamoja na hayo, Iran naye ni mshamba tuIsrael hawezi vita ataishia kutumia njia za ugaidi wa kulipua huku na huku ndicho anacho kiweza. Mwambie kama mwanaume akashambulie kama alivyo shambulia Syria kwa ndege zake.
Nimechekaje!!Usisahau tutakavyokuwa tunagaragara kando ya kijito kinachotiririsha mvinyo huku wachuchuu wanatushikashika videvu kwa huba la hali ya juu sana.
Hapo nipo na wewe Iran alitakiwa kukimaliza hicho ki cancer kiliopo Middle East, sababu kilisha ishiwa hata air defense Missiles aliishiwa. Huko nyuma ya Pazia kuna pesa sijui kambiwa Iran atapewa labda na Qatar akakubali kusimamisha vita, kwanza Iran alikataa sijui huyu Qatar kampa nini Iran mpaa kakubali kusimamisha vita. Baada ya siku mbili nilisikia Qatar watampa Iran karibu 500 Millions za Kimarekani.Pamoja na hayo, Iran naye ni mshamba tu
Kwa nini akubali mazungumzo ya kusitisha vita?
Ka nchi kamejileta kenyewe na kiherehere chake, si angekafuta tu,
Hao "vipenzi" vyetu kama ni wanaume hata wakifa, hakuna tatizo; imagine huko unakokwenda baada ya KIFO unakua unajipigia bikra kila siku lakini ya kutolea hutumi, what a lucky? 😃 😀 😄 😁 🤣 😂Hao mazayuni hawajaua vipenzi vyetu wa kiajemi?
Hizi za bikra mmezitolea wapi au zile sahihi muslim na bukhari za kikristo na kiyahudi. Sababu hata Iran wayahudi walipeleka mtu mpa Qur'an anaijua kumbe ni spy wa Mossad, alikuwa akihutubia kwenye Masjid tena kipofu na alikiwa akitoa ishara basi mnashangaa yanatokea.Hao "vipenzi" vyetu kama ni wanaume hata wakifa, hakuna tatizo; imagine huko unakokwenda baada ya KIFO unakua unajipigia bikra kila siku lakini ya kutolea hutumi, what a lucky? 😃 😀 😄 😁 🤣 😂
Mara ngapi mkuu. Fiche basi aibu mtoto wa kiumeIsrael hawezi vita ataishia kutumia njia za ugaidi wa kulipua huku na huku ndicho anacho kiweza. Mwambie kama mwanaume akashambulie kama alivyo shambulia Syria kwa ndege zake.
Mimi naweza kuwa Baba yako au babu yako we baki unanyonya kidole gumba tuMara ngapi mkuu. Fiche basi aibu mtoto wa kiume
Hata machizi nao wanazeekq lakinMimi naweza kuwa Baba yako au babu yako we baki unanyonya kidole gumba tu
Mkuu kwa kiswahili je?#Enemy_Media
"Calcalist" Hebrew newspaper: The National Emergency Authority sent a letter explaining that the closure of the Port of Eilat will halt its tugboats and vessels, cut off support for the navy in the Red Sea area, disrupt the Asia-Europe oil pipeline transferring crude from Eilat to Ashkelon, and damage potash exports from the Dead Sea plants, which would then only be possible through Ashdod Port.
#Military_Media
We unaonyesha unatafuta mizigo ya wazee usije shindwa kutembea tu, sisi hatuli kuku wa machine shauri lakoHata machizi nao wanazeekq lakin
Vp yeye Israel anazo ngapi? Na ziliharibiwa ngapiIran Ina nuke site nane ni tatu tu ndio zimeharibiwa incase hujui for your pity ignorance.
Duh,,,Israel hawezi vita ataishia kutumia njia za ugaidi wa kulipua huku na huku ndicho anacho kiweza. Mwambie kama mwanaume akashambulie kama alivyo shambulia Syria kwa ndege zake.
Mamlaka ya Dharula nchini Israel Imetahadharisha kua kusimama Kwa shughuli bandari ya Eliot(ambayo inashambuliwa na Al Houth) kumevuruga usafirishaji wa mafuta kwenda Ulaya ana Asia Kwa njia ya bomba, pia usafirishaji wa bidhaa nje ya Israel, na pia jeshi la Navy litakosa support ya bandari katika bahari nyekundu. Hivyo wao watabidi kumtegemea bandari ya ashdood pekee, hivyo hili ni pigo kiuchumi tayari bandari haina shughuli zozte Kwa Sasa kutokana na mashambulizi ya kutoka YemeniMkuu kwa kiswahili je?
Mbona mtume alikula sheikh unashindwa nini weweWe unaonyesha unatafuta mizigo ya wazee usije shindwa kutembea tu, sisi hatuli kuku wa machine shauri lako