Milipuko viwanja vya ndege viwili vya Jeshi Moscow

Katika kitu kibaya ambacho Putin umetuuzi washabiki wako ni hili, haiwezekani kanchi kadogo kashambulie Superpower tena kwao tena kambi za jeshi muhimu, kweli Putin umeshindwa kudhibiti anga? Ki uhalisia, Putin umetuudhi sana Warusi wa Chato, Chamwino, Tabora na Ubungo. Warusi wenzangu wa Madale na Kawe leo tumeamua tuweke siku ya maombolezo kwa warusi wenzetu waliokufa kutokana na shambulio la Ukraine.
 
Madhara ya mashambulizi ya Ukraine ni madogo Sana
 
ukraine wakifumua mshono. wananyamaza wanamuachia mwenye mshono wake apige mayowe.
kazi ya ukraine airforce ni kumfundisha superpower ku hit tough target. na sio soft target kama vile matransfoma ya umeme ya mitaani.
Anayepata hasara Sana ni Ukraine Kwa sababu anashambuliwa kila mji na kila eneo.hilo shambulio halina madhara makubwa Kwa urusi bado ndege zitaendelea kupiga Ukraine Kila siku.
 
Leo tena kuna airfield nyingine imepigwa na Drone huko Russia, kama kawaida Ukraine imekaa kimya haijatoa tamko lolote

Live blog: Drone strikes hit Russian airfield bordering Ukraine - governor
37 MINUTES AGO

Tuesday, December 6, 2022

Drone strikes hit Russian airfield bordering Ukraine

A drone has attacked an airfield in Russia's Kursk region bordering Ukraine, the local governor said, a day after Moscow blamed Ukraine for drone strikes at two other Russian airfields.

"As a result of a drone attack in the area of the Kursk airfield, an oil storage tank caught fire. There were no casualties," governor Roman Starovoyt said on social media, adding that they were trying to contain the fire.

Starovoyt did not specify where the drone originated.
Live blog: Drone strikes hit Russian airfield bordering Ukraine - governor
Zinaingizwa gia tu, sasa gia ipo namba 2, soon itaingia 3. NATO kama kawaida yao yamkini wakawa ktk nyuma ya pazia, soon tutaambiwa mikoa ya urusi ilopakana na Ukraine sio salama.
 
Katika kitu kibaya ambacho Putin umetuuzi washabiki wako ni hili, haiwezekani kanchi kadogo kashambulie Superpower tena kwao tena kambi za jeshi muhimu, kweli Putin umeshindwa kudhibiti anga? Ki uhalisia, Putin umetuudhi sana Warusi wa Chato, Chamwino, Tabora na Ubungo. Warusi wenzangu wa Madale na Kawe leo tumeamua tuweke siku ya maombolezo kwa warusi wenzetu waliokufa kutokana na shambulio la Ukraine.
Tuna s300, s400 n.k na bado drone zinapiga, sisi ndio bora ktk anga duniani kuliko mtu yoyote, sisi warusi wa chato tunadharirika mno.
 
Back
Top Bottom