Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,500
Hahahaha hii comment ni ya Elungata au mwingine?! Leo hii unaiponda S400 wakati miaka yote ulikua unaisifu humu.Hatari sana,, hizi air defence ziko overated, haijalishi ziwe za Russia ama NATO,, mpaka sasa mchina na iran tu ndio hawajaniangusha kwa air defence. [emoji23]
Huyo mchina air defenses si ananunua kwa Mrusi,mpk SS sijaona air defenses km za muIsrael.