Milipuko viwanja vya ndege viwili vya Jeshi Moscow

Milipuko viwanja vya ndege viwili vya Jeshi Moscow

Siku mbili kabla, Ukraine ilijaribu drone zake mpya zinazoweza fikia target mpaka 1000km. Jana Base mbili ndani ya Urusi zilizoko mamia ya km zikapigwa.
Ukraine hawezi fanya hilo kosa, bado anakumbuka mziki wa urusi alipo lipua daraja kule crimea.
 
Picha za Satellite zaonyesha uharibifu uliofanyika🤔
....
Very high resolution satellite image of the damaged Tu-95 at Engels Air Base, Russia, after yesterday's drone attack.

December 5, 2022
Screenshot_20221206-173326.png
 
Katika kitu kibaya ambacho Putin umetuuzi washabiki wako ni hili, haiwezekani kanchi kadogo kashambulie Superpower tena kwao tena kambi za jeshi muhimu, kweli Putin umeshindwa kudhibiti anga? Ki uhalisia, Putin umetuudhi sana Warusi wa Chato, Chamwino, Tabora na Ubungo. Warusi wenzangu wa Madale na Kawe leo tumeamua tuweke siku ya maombolezo kwa warusi wenzetu waliokufa kutokana na shambulio la Ukraine.
Hawa Warussi wa hapa Rau Madukani naona wamekaa kikao na kila mmoja anaongea kwa jazba na wanamtaja-taja sana Putin. Yawezekana wamechanganyikiwa pakubwa.
 
Hawa Warussi wa hapa Rau Madukani naona wamekaa kikao na kila mmoja anaongea kwa jazba na wanamtaja-taja sana Putin. Yawezekana wamechanganyikiwa pakubwa.
Halafu drones zilizotumika ni za enzi za soviet union, miaka ya 70,, nina wasiwasi israel wanasaidia kuzisuka upya, utumbo(electronics, sensors, explosive, guidence systems)
 
ukraine wakifumua mshono. wananyamaza wanamuachia mwenye mshono wake apige mayowe.
kazi ya ukraine airforce ni kumfundisha superpower ku hit tough target. na sio soft target kama vile matransfoma ya umeme ya mitaani.
Tatizo la Russia, wana pull punches🙆‍♀️😁,huwezi ukapigana na adui huku unamuonea huruma,, sasa transformer wanaharibu, wazungu wanajaza mpya na zinafungwa faster,, kiufupi umeme wa ukraine hauharibikiki, kwana magharibi yote wako standby kusaidia na hata uturuki wanataka kutuma meli za kufua umeme ukraine,, Russia anatakiwa kulenga targets za ukweli bila kujali kuumiza hao waukraine, ama sivyo hii ngoma itaenda miaka hata 5,
Pia Russia anatakiwa aingize majeshi via belarus ili aichukue kiev,, alifanya kosa sana kurudisha askari nyuma kutoka kiev,,
Huwezi kupigana na adui yako huku unamuonea imani eti ni dugu moya
 
what im saying is that basically all AD sucks. Look at Saudi fuel tanks and Israeli ship which had something like AEGIS radar on it was hit. I'm begging to think AD for most part is a money making scam or a work in progress. I dont know what air defence Pakistan has but US just flew helicopters in to get bin laden, noone had any idea they were coming.

I remember in the bombing of Serbia in 1999, the serbs launched 2 MiG-29's from Belgrade to hit a US base in Bosnia. those Migs got within 45km of the US base. US and everything there to protect the base, AWACS, fighters, patriots, close in air defence, you know what downed those Migs? An F16. So watching all this, I'm not that convinced air defence is generally very good anywhere.
 
Tatizo la Russia, wana pull punches🙆‍♀️😁,huwezi ukapigana na adui huku unamuonea huruma,, sasa transformer wanaharibu, wazungu wanajaza mpya na zinafungwa faster,, kiufupi umeme wa ukraine hauharibikiki, kwana magharibi yote wako standby kusaidia na hata uturuki wanataka kutuma meli za kufua umeme ukraine,, Russia anatakiwa kulenga targets za ukweli bila kujali kuumiza hao waukraine, ama sivyo hii ngoma itaenda miaka hata 5,
Pia Russia anatakiwa aingize majeshi via belarus ili aichukue kiev,, alifanya kosa sana kurudisha askari nyuma kutoka kiev,,
Huwezi kupigana na adui yako huku unamuonea imani eti ni dugu moya
Hana huo ubavu tena. Ameshatepeta mazima. Hiyo milipuko kwenye viwanja 2 vya ndege T-95 ni advertisement(trailer) tu. Shida ya Mrussi ni kwamba alijisahau sana na kuendelea kujilimbikizia na kuhifadhi mazagazaga ya zana-vita za zamani sana e.g. T-95 ni ndege kubwa ya kivita ya 1952. Hata inawezekana hizo nuklia anazojigamba nazo zikawa ni mojawapo katika hayo mazagazaga. Ilipaswa intelijensia yake iwe makini sana na kumsoma Ukraine kabla hajafanya Uvamizi. Kwa maneno ya mitaani = Imekula kwake.
 
Back
Top Bottom