Tatizo la Russia, wana pull punches🙆♀️😁,huwezi ukapigana na adui huku unamuonea huruma,, sasa transformer wanaharibu, wazungu wanajaza mpya na zinafungwa faster,, kiufupi umeme wa ukraine hauharibikiki, kwana magharibi yote wako standby kusaidia na hata uturuki wanataka kutuma meli za kufua umeme ukraine,, Russia anatakiwa kulenga targets za ukweli bila kujali kuumiza hao waukraine, ama sivyo hii ngoma itaenda miaka hata 5,
Pia Russia anatakiwa aingize majeshi via belarus ili aichukue kiev,, alifanya kosa sana kurudisha askari nyuma kutoka kiev,,
Huwezi kupigana na adui yako huku unamuonea imani eti ni dugu moya