Milipuko viwanja vya ndege viwili vya Jeshi Moscow

Milipuko viwanja vya ndege viwili vya Jeshi Moscow

Hiyo iliyoonyeshwa ni prototype, hizo kuingia front hata miaka kumi mbele,,
Cheki design ya mrussia ila hii nayo hawajatoa prototype
View attachment 2438150
Sio prototype ni yenyewe na Northrop Grumman Wana nyingine 6 kwenye plants zao (kama ulisikiliza hotuba ya Yule mama Mkuu wa Northrop).

Mwakani itafanya majaribio ya kuruka Kwa mara ya Kwanza.
 
Su-57 mpk Leo hawajaanza kumass produce,hyo PAK DA Yao nadhani tutaiona mwaka 2050
Russia hawakutarajia kabisa kuwa wataingia vitani miaka ya karibuni,, kila project waliipeleka polepole wakiamini hakuna vita kubwa karibuni,, hawakujua kuwa US alikuwa anawapangia mtego ili wanase,, kiufupi marekani sasa wanataka kulipa kisasi cha vietnam na korea war,, maana bila mkono wa USSR,, marekani hangeabika vile huko vietnam,,
Lililobaki sasa ni tusubiri tuone, je , Russia ata adopt na kushinda hiyo vita, au itakuaje😄
 
Russia ana Rada za kila aina lkn cha ajabu drone imetoka Ukraine imesafiri mamia ya km mpk kufikia hizo base ambazo zipo 125 miles tu toka Moscow.
Nilisikia Wana s500 tayari,vp ilikua imezimwa au?!
Possibility ni kuwa drone inaweza kuwa imetokea ndani ya Russia, na inaweza isiwe TU 144 drone
 
Possibility ni kuwa drone inaweza kuwa imetokea ndani ya Russia, na inaweza isiwe TU 144 drone
Possibility!!!!!!

Ila baadhi ya source (NYT) zinasema zilitoka ndani ya mipaka ya Ukraine
 
Hana huo ubavu tena. Ameshatepeta mazima. Hiyo milipuko kwenye viwanja 2 vya ndege T-95 ni advertisement(trailer) tu. Shida ya Mrussi ni kwamba alijisahau sana na kuendelea kujilimbikizia na kuhifadhi mazagazaga ya zana-vita za zamani sana e.g. T-95 ni ndege kubwa ya kivita ya 1952. Hata inawezekana hizo nuklia anazojigamba nazo zikawa ni mojawapo katika hayo mazagazaga. Ilipaswa intelijensia yake iwe makini sana na kumsoma Ukraine kabla hajafanya Uvamizi. Kwa maneno ya mitaani = Imekula kwake.
Nakubaliana na wewe, nuclear alizonazo russia ni walakini.
 
Russia hawakutarajia kabisa kuwa wataingia vitani miaka ya karibuni,, kila project waliipeleka polepole wakiamini hakuna vita kubwa karibuni,, hawakujua kuwa US alikuwa anawapangia mtego ili wanase,, kiufupi marekani sasa wanataka kulipa kisasi cha vietnam na korea war,, maana bila mkono wa USSR,, marekani hangeabika vile huko vietnam,,
Lililobaki sasa ni tusubiri tuone, je , Russia ata adopt na kushinda hiyo vita, au itakuaje[emoji1]
Urusi ni kawaida yao kuonyesha silaha halafu baadae inapotea kama upepo walikua na Su-47 Berkut sijui iliishia wapi. Vifaru vya kisasa T-14 armata walisema wameanza uzalishaji lkn hatuvioni vitani mpk wanaleta vifaru vya enzi ya mkoroni kina T-62.

Hata hiyo PAK-DA si ajabu kukuta ipo kwenye makaratasi tu.
 
Russia hawakutarajia kabisa kuwa wataingia vitani miaka ya karibuni,, kila project waliipeleka polepole wakiamini hakuna vita kubwa karibuni,, hawakujua kuwa US alikuwa anawapangia mtego ili wanase,, kiufupi marekani sasa wanataka kulipa kisasi cha vietnam na korea war,, maana bila mkono wa USSR,, marekani hangeabika vile huko vietnam,,
Lililobaki sasa ni tusubiri tuone, je , Russia ata adopt na kushinda hiyo vita, au itakuaje[emoji1]
Sio kwamba hawakutarajia vita ila hawakupiga hesabu zao vizuri walidhani wangemaliza mchezo haraka kama walivyofanya Georgia 2008, Crimea 2014...walichosahau ni kwamba baada ya kuchukuliwa kwa Crimea Magharibi walianza kulifua jeshi la Ukraine na matokeo ndio haya sasa tunayoona.
 
Ukraine trying to drag US into war – ex-CIA officer​

Drone attacks on Russian airfields fit Kiev’s behavior pattern, claims Philip Giraldi
Ukraine trying to drag US into war – ex-CIA officer

File photo: US soldiers during a NATO exercise at the Lask Air Base in Poland, October 12, 2022 © Omar Marques/Getty Images
Ukrainian President Vladimir Zelensky is looking for ways to get the US and NATO directly involved in the conflict, former CIA officer Philip Giraldi has said, pointing to Monday’s drone attack at two airfields inside Russia as an example of such tactics.
“This was a clear attempt by Zelensky, in my mind, to escalate the war,” Giraldi told Judge Andrew Napolitano on Monday evening’s episode of the ‘Judging Freedom’ podcast. “He tried to do that with the missile that was misdirected, possibly, and wound up in Poland and killed two people. He even pushed it and said NATO has to intervene now. This could be another attempt to, shall we say, promote an escalation on the part of the Russians that could possibly be construed as a danger to Poland, danger to troops in Poland, that sort of thing. This is the game that’s being played.”
The missile that struck the village of Przewodow last month was quickly identified as Ukrainian, but Zelensky continued to insist otherwise for several days, until both Warsaw and Washington expressed frustration.
Napolitano had pointed out that the US currently has around 40,000 troops in Poland. Their presence creates a “high potential for accidents” and misunderstandings, said Giraldi, noting that Russia would know right away if they made a move to cross the border.
Moscow accuses Ukraine of ‘nuclear terrorism’
READ MORE
Moscow accuses Ukraine of ‘nuclear terrorism’

On Monday morning, two drones attempted to strike the Dyagilevo airfield in Ryazan Region and Engels airfield in Saratov Region, more than 500 kilometers from the nearest Ukrainian-controlled territory. Three Russian servicemen were killed and several more injured, but the attack did not disrupt a strategic aviation strike against Ukrainian logistics later in the day, the defense ministry in Moscow said.
“The whole purpose of this is again political,” Giraldi told Napolitano about the attack. “It’s to escalate the process so that Russia – at least in the hopes of Zelensky and his advisers, many of whom are probably American – does something that is really stupid and provocative in return, and this will provoke the NATO-US reaction that Zelensky wants to see. I am convinced that this is what he’s playing at.”
The big question, Giraldi added, is whether the US military and the White House knew of the attack in advance, “and if so, did they approve it?”
The US insists it is not a party to the conflict in Ukraine, but President Joe Biden has said he would support Kiev with weapons and money for “as long as it takes” to defeat Russia on the battlefield.
 
Russia hawakutarajia kabisa kuwa wataingia vitani miaka ya karibuni,, kila project waliipeleka polepole wakiamini hakuna vita kubwa karibuni,, hawakujua kuwa US alikuwa anawapangia mtego ili wanase,, kiufupi marekani sasa wanataka kulipa kisasi cha vietnam na korea war,, maana bila mkono wa USSR,, marekani hangeabika vile huko vietnam,,
Lililobaki sasa ni tusubiri tuone, je , Russia ata adopt na kushinda hiyo vita, au itakuaje[emoji1]
Mpaka sasa Urusi kapata aibu kubwa sana.
 
There is finally a sane explanation online why Strategic Aircraft are parked out in the open.

"There are several factors:
1) Deployment speed. If the aircraft is in a hangar, deployment speed is three times slower, this fact can play a strong role in the sudden escalation of the conflict. Plus, while a strategic bomber is inside a hangar, you can't turn the engine on. It would have to be pulled out by heavy tugs.

2) The size of the hangar has to be very large. Because an aeroplane is a giant thing that needs a proper garage, which is extremely costly financially. Under a large hangar area you won't make a roof that will be any effective protection. If a UAV hits it, the roof will collapse and the consequences could be even worse.

3) The hangars need to be further away from the runway, otherwise it would be inconvenient and dangerous to manoeuvre. Large airfield areas are needed. This, again, affects the flight speed.

By the way, American strategic bombers are also parked in the open air".

However, this does not change the fact that in such case, all risks should have been calculated long ago and security of such airfields should have been increased. After all, the Americans at their side don't have a war with the Mexicans, who can launch any crap from a catapult and damage expensive and critical equipment.
 
tim shaheed kemikaze wamehama viwanja sjawasikia muda kweli.

sema waukraine noma sana wanapenda amsha amsha muda wote. wakimuona giant amepoa hashambulii sana wana mfata nyumbani kwake wanamshika kalio kidogo. halaf wanaskilizia.
adi achoke.
 
Hahahaha hii comment ni ya Elungata au mwingine?! Leo hii unaiponda S400 wakati miaka yote ulikua unaisifu humu.

Huyo mchina air defenses si ananunua kwa Mrusi,mpk SS sijaona air defenses km za muIsrael.
@Elungata ameamua kuwa muwazi ktk vita hii, hataki kujitia moyo.
 
Nikikumbuka kabla ya hii vita hzo air defenses zilivyokua zinasifiwa humu kwamba ndo Bora kabisa duniani naishiwa nguvu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi niliwahi wasoma hao jamaa akili ikakataa kuendelea kusoma hizo habari na pia nilijiuliza huyu super power iweje anafanya mazoezi ya pamoja na India au China mara kwa mara anaogopa nini uzuri majibu nimepata...niliwahi soma humu sijui pana vigari vya jeshi vinaingia mtaani na kufumua kama drone hapo ndio nikachoka zaidi vita inaenda kuisha hii naona Mkubwa akiomba msaada Iran na NK wa Drones...
 
Ukraine inapaswa kupiga sawasawa ndani ya Urusi, bila maafa makubwa sana katika ardhi ya Urusi itakuwa vigumu sana kumleta dikteta Putin katika meza ya mazungumzo.
Vifo vya maelfu ya wanajeshi wake huko Ukraine havitoshi kuugeuza moyo wa huyo Farao mpumbavu.
 
Ngoja kidogo - hapo wanamlia rada(wanamsoma kwa undani zaidi) halafu watam'binya pale mahala patakatifu na ukiskia amelia kwa kilugha chake ujue kwisha habari yake. Hii hali ni wanamwandalia -wanamseti akae uzuri halafu utasikia "Ndi" sisi tunaenda tu kuweka turubali kazi imeisha parapanda imelia. Kwa sasa ni uhakika Putin hachomoi.
 
Back
Top Bottom