Mrengwa wa kulia
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,091
- 3,695
- Thread starter
-
- #21
Hii anatafuta namna ya kwenda kumdunda kma ngoma [emoji1][emoji1][emoji1]Hapa panaweza kuwa na Mambo mawili.
1. Ukraine amemshambulia Russia.
2. Russia anajitafutia mandate ya Kufanya full combat bila kulaumiwa.
Hapa panaweza kuwa na Mambo mawili.
1. Ukraine amemshambulia Russia.
2. Russia anajitafutia mandate ya Kufanya full combat bila kulaumiwa.
Drone ilipita kuwasalimia kdgSomething is going on at a russian air base in Kursk.
https://www.facebook.com/
Nikikumbuka kabla ya hii vita hzo air defenses zilivyokua zinasifiwa humu kwamba ndo Bora kabisa duniani naishiwa nguvu[emoji23][emoji23][emoji23]
Madhara ya mashambulizi ya Ukraine ni madogo SanaKatika kitu kibaya ambacho Putin umetuuzi washabiki wako ni hili, haiwezekani kanchi kadogo kashambulie Superpower tena kwao tena kambi za jeshi muhimu, kweli Putin umeshindwa kudhibiti anga? Ki uhalisia, Putin umetuudhi sana Warusi wa Chato, Chamwino, Tabora na Ubungo. Warusi wenzangu wa Madale na Kawe leo tumeamua tuweke siku ya maombolezo kwa warusi wenzetu waliokufa kutokana na shambulio la Ukraine.
Anayepata hasara Sana ni Ukraine Kwa sababu anashambuliwa kila mji na kila eneo.hilo shambulio halina madhara makubwa Kwa urusi bado ndege zitaendelea kupiga Ukraine Kila siku.ukraine wakifumua mshono. wananyamaza wanamuachia mwenye mshono wake apige mayowe.
kazi ya ukraine airforce ni kumfundisha superpower ku hit tough target. na sio soft target kama vile matransfoma ya umeme ya mitaani.
Hiyo namba 2 futa kabisa.Hapa panaweza kuwa na Mambo mawili.
1. Ukraine amemshambulia Russia.
2. Russia anajitafutia mandate ya Kufanya full combat bila kulaumiwa.
Hawaamini kipondo anachopewa RussiaKwenye habari umeambiwa kabisa "Russia Defense Ministry said....". Au lugha ya malkia mtihani kaka
Ukraine anaanza hivi hivi kupiga miundombinu, mwisho wa siku balaa linazidi.Siku mbili kabla, Ukraine ilijaribu drone zake mpya zinazoweza fikia target mpaka 1000km. Jana Base mbili ndani ya Urusi zilizoko mamia ya km zikapigwa.
Kwanza kabisa unakubali hii habari sio propaganda?Hv UKRAINE wanasemaje kuhusu hilo shambulizi maana sijasikia wakisema lolote mpaka muda huuu !!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Zinaingizwa gia tu, sasa gia ipo namba 2, soon itaingia 3. NATO kama kawaida yao yamkini wakawa ktk nyuma ya pazia, soon tutaambiwa mikoa ya urusi ilopakana na Ukraine sio salama.Leo tena kuna airfield nyingine imepigwa na Drone huko Russia, kama kawaida Ukraine imekaa kimya haijatoa tamko lolote
Live blog: Drone strikes hit Russian airfield bordering Ukraine - governor
37 MINUTES AGO
Tuesday, December 6, 2022
Drone strikes hit Russian airfield bordering Ukraine
A drone has attacked an airfield in Russia's Kursk region bordering Ukraine, the local governor said, a day after Moscow blamed Ukraine for drone strikes at two other Russian airfields.
"As a result of a drone attack in the area of the Kursk airfield, an oil storage tank caught fire. There were no casualties," governor Roman Starovoyt said on social media, adding that they were trying to contain the fire.
Starovoyt did not specify where the drone originated.
Live blog: Drone strikes hit Russian airfield bordering Ukraine - governor
Na zitaendelea kupigwa.Na Leo tena airfield nyingine imepigwa
Wana mpaka s550 za kutungulia satelites, sasa vidrone tu wamechemka.
Tuna s300, s400 n.k na bado drone zinapiga, sisi ndio bora ktk anga duniani kuliko mtu yoyote, sisi warusi wa chato tunadharirika mno.Katika kitu kibaya ambacho Putin umetuuzi washabiki wako ni hili, haiwezekani kanchi kadogo kashambulie Superpower tena kwao tena kambi za jeshi muhimu, kweli Putin umeshindwa kudhibiti anga? Ki uhalisia, Putin umetuudhi sana Warusi wa Chato, Chamwino, Tabora na Ubungo. Warusi wenzangu wa Madale na Kawe leo tumeamua tuweke siku ya maombolezo kwa warusi wenzetu waliokufa kutokana na shambulio la Ukraine.
Umeipokeaje taarifa?Ahsante kwa taarifa...
Hao wajinga ni wengi[emoji3]Kwenye habari umeambiwa kabisa "Russia Defense Ministry said....". Au lugha ya malkia mtihani kaka