Jamaa mnazi sana, udini umemlemaza, kila wakati merikani merikani merikani.Yes jamaa amekua real sio yule mwamba mwenye jina la Kirundi ana andikaga maessay afu pumba tupu hua hakubaligi kushindwa yule
Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
Mwanzo wa vita ulikuwa unatumia ID gani mbona hukuwahi kuonekana hapa?Nikikumbuka kabla ya hii vita hzo air defenses zilivyokua zinasifiwa humu kwamba ndo Bora kabisa duniani naishiwa nguvu[emoji23][emoji23][emoji23]
Afghanistan, Afghanistani, Vietnam Vietnam, Libya Libya, Syria S........ Hahahaaaa. 😃Jamaa mnazi sana, udini umemlemaza, kila wakati merikani merikani merikani.
Pro NATO [emoji16][emoji23][emoji16]Hata saa mbovu kuna wakati inasema ukweli
ISRAEL hii inayopigana na HAMAS ama nyengineHahahaha hii comment ni ya Elungata au mwingine?! Leo hii unaiponda S400 wakati miaka yote ulikua unaisifu humu.
Huyo mchina air defenses si ananunua kwa Mrusi,mpk SS sijaona air defenses km za muIsrael.
Unajiridhishaje yaaniKwanini Ukraine itolee taarifa ya kushambuliwa kwa Russia, taarifa ambayo Wizara ya Russia yenyewe imeshazungumzia. Au huamini taarifa ya Russia, huwa ni waongo au sio
Zikifanya kazi nzuri dhidi ya jeshi la TAIFA gani !!!??Ni hawajaingia kwenye vita serious tukaona hizo air defense systems zao. Angalau iron domes tuliziona zikifanya kazi nzuri.
Umempatia mkuu, ha ha ha haAfghanistan, Afghanistani, Vietnam Vietnam, Libya Libya, Syria S........ Hahahaaaa. [emoji2]
ISRAEL hii inayopigana na HAMAS ama nyengine
Yaani taifa linapigana na wanamgambo mnalisifu [emoji16][emoji23][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyohiyo,SS jamaa yetu pamoja na ma-S500 yoteee yale lkn zimeshindwa kuona drone za Ukraine [emoji23].ISRAEL hii inayopigana na HAMAS ama nyengine
Yaani taifa linapigana na wanamgambo mnalisifu [emoji16][emoji23][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo manzese kwa mfuga mbwa eti unasema Urusi anamuonea huruma Ukraine? Umekula maharagwe ya wapi wewe? Mrusi wa Buza kwa Mpalange unaleta habari hizi kweli? Huoni hata aibu?tukubali Urusi imetuangusha sana sisi Warusi wa Mchambawima.Tatizo la Russia, wana pull punches🙆♀️😁,huwezi ukapigana na adui huku unamuonea huruma,, sasa transformer wanaharibu, wazungu wanajaza mpya na zinafungwa faster,, kiufupi umeme wa ukraine hauharibikiki, kwana magharibi yote wako standby kusaidia na hata uturuki wanataka kutuma meli za kufua umeme ukraine,, Russia anatakiwa kulenga targets za ukweli bila kujali kuumiza hao waukraine, ama sivyo hii ngoma itaenda miaka hata 5,
Pia Russia anatakiwa aingize majeshi via belarus ili aichukue kiev,, alifanya kosa sana kurudisha askari nyuma kutoka kiev,,
Huwezi kupigana na adui yako huku unamuonea imani eti ni dugu moya
6 day War. Misri na Mataifa ya Kiarabu hayana hamu kabisa.vita vya siku sita.
mnasahau haraka sana vijana.
Kumbuka limeua hadi mwanahabari wa waarabu aljazeera na limegoma kuhojiwa tena kila siku mpalestina mmoja anakufa.....😅😅😅ISRAEL hii inayopigana na HAMAS ama nyengine
Yaani taifa linapigana na wanamgambo mnalisifu [emoji16][emoji23][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
6 day War. Misri na Mataifa ya Kiarabu hayana hamu kabisa.vita vya siku sita.
mnasahau haraka sana vijana.
Yap. Mkuu naomba uwakumbushe aisee kwani vijana wa dotcom ni wavivu sana kusoma. Tena waambie ni mataifa kumi (10) yalishirikiana dhidi ya kataifa kadogo kama mkoa wa Kilimanjaro- lakini wote 10 waligwaya hawakufua dafu na baadhi walinyanganywa ardhi yao.vita vya siku sita.
mnasahau haraka sana vijana.
Lakini una habari Wairsrael walipoteza ndege ngapi kwenye vita hiyo - mpaka Godier Meyer kala zimika kutuma ndege chungu mzima kutoka Merikani kupeleka ndege za vita -SAM-6 air defense sytems ndio zilohusika zaidi katika ufagizi wa ndege za Israel kutoka air space ya Misri - Syria walukuwa woga kidogo na waliwasaliti wa Misri kwenye operation nzima - ndio maana Waarabu si watu wa kuaminika hata kidogo hata SAM-6 iliibiwa na makomando wa Israel naskia wao walikwenda kusali na kusahau lindo mambo mengine ya Waarabu ukiyasikiliza na pasua kichwa kabisa.6 day War. Misri na Mataifa ya Kiarabu hayana hamu kabisa.
Sasa unadhani kuwa wasingepoteza kitu. Ile vita zaidi ya mataifa 6 ya kiarabu yaliungana. Yaliangamize taifa la israel.Lakini una habari Wairsrael walipoteza ndege ngapi kwenye vita hiyo - mpaka Godier Meyer kala zimika kutuma ndege chungu mzima kutoka Merikani kupeleka ndege za vita -SAM-6 air defense sytems ndio zilohusika zaidi katika ufagizi wa ndege za Israel kutoka air space ya Misri - Syria walukuwa woga kidogo na waliwasaliti wa Misri kwenye operation nzima - ndio maana Waarabu si watu wa kuaminika hata kidogo hata SAM-6 iliibiwa na makomando wa Israel naskia wao walikwenda kusali na kusahau lindo mambo mengine ya Waarabu ukiyasikiliza na pasua kichwa kabisa.
Sikiliza kwa umakini nilicho zongomza kwanza nimesema manemo mengine ya Waarabu ukiyasikiliza ni "pasua kichwa kabisa" hawana umoja - hile vita ya 1973 walisha shinda kabisa!!!Sasa unadhani kuwa wasingepoteza kitu. Ile vita zaidi ya mataifa 6 ya kiarabu yaliungana. Yaliangamize taifa la israel.
Sasa Putin ameweka wazi kuwa USA yuko vitani kificho : fighting "Proxy" war. Vita halisi inanukiaAisei tena ndani ya Urusi, he he he!! Supapawa alisema akishambuliwa ndani atafyatua manyuklia...