Military bus zilinunuliwa kwa lengo gani? Nazipenda Sana zikipita 🤣

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Naziona ziko nyingi ila kuna nyingine hata hazitumiki zilinunuliwa nyingi na bado ziko bandarini cha ajabu sometimes wanaazima bus za binafsi ila me nazipenda Sana hizi bus aisee 🤣🤣 wakuu hii mada ni nimeanzisha Tu baada ya kuziona zinasafiri empty nazipenda Sana hizi bus 🥰
 
Zilipakwa rangi ya Kijani zikapeleka watu kwenye bonge la Mkutano Kuubwa
 
Naziona ziko nyingi ila kuna nyingine hata hazitumiki zilinunuliwa nyingi na bado ziko bandarini cha ajabu sometimes wanaazima bus za binafsi ila me nazipenda Sana hizi bus aisee 🤣🤣 wakuu hii mada ni nimeanzisha Tu baada ya kuziona zinasafiri empty nazipenda Sana hizi bus 🥰
CCM walizileta kwa ajili ya kampeni. Walipoona kelele zimekuwa nyingi mtandaoni, wakalipa jeshi
 
Naziona ziko nyingi ila kuna nyingine hata hazitumiki zilinunuliwa nyingi na bado ziko bandarini cha ajabu sometimes wanaazima bus za binafsi ila me nazipenda Sana hizi bus aisee 🤣🤣 wakuu hii mada ni nimeanzisha Tu baada ya kuziona zinasafiri empty nazipenda Sana hizi bus 🥰
Kua na adabu... Military bus au Military equipment haihojiwi... Inatakiwa ukiona unashangilia tupo imara.
 
Naziona ziko nyingi ila kuna nyingine hata hazitumiki zilinunuliwa nyingi na bado ziko bandarini cha ajabu sometimes wanaazima bus za binafsi ila me nazipenda Sana hizi bus aisee 🤣🤣 wakuu hii mada ni nimeanzisha Tu baada ya kuziona zinasafiri empty nazipenda Sana hizi bus 🥰
Picha please!
 
Back
Top Bottom