BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Unazipenda bus au unawapenda walio zitengeneza? Wachina hao na hadi Wazalendo wenyewe wanatamani imported tuna safari ndefu sana.Naziona ziko nyingi ila kuna nyingine hata hazitumiki zilinunuliwa nyingi na bado ziko bandarini cha ajabu sometimes wanaazima bus za binafsi ila me nazipenda Sana hizi bus aisee 🤣🤣 wakuu hii mada ni nimeanzisha Tu baada ya kuziona zinasafiri empty nazipenda Sana hizi bus 🥰
hizo the more Jeshi wananunua ndii the more Wacguna wanatangaza ajira mpya kwenye viwanda vya mabasi