Millard Ayo kapoteza maboya vijana wengi waliokuwa wanatamani kuwa kama yeye

Millard Ayo kapoteza maboya vijana wengi waliokuwa wanatamani kuwa kama yeye

Millard kiuhakika kabisa kwa endorsement zote anazopata na mshahara wake. Sidhani kama anaingiza chini ya 10m kwa mwezi na hayo ni makadirio ya chini sana kwa blogger na influencer A'list kama yeye
Exactly!
This is is what I'm talking ...
Thanks mkuu.
 
Ile hostel kule bondeni alikuwa anawatafuna haswaa.. Kulikuwa na Hao wanafunzi na watoto wengine walikuwa wanafanya dancing na promotion mbali mbali.. Jamaa alikuwa anawabadili haswa ndani ya gari..

Hadi wakamuwekea mtego.. Wahuni wakampukutisha hela.. Maisha yakaendelea..4

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa jinsi Millard alivyoishi vizuri na wadau wa kitaa (wandewa/wazawa) wa Ubungo Msewe hao waliomputisha ni wageni au hii stori ulilishwa matango pori uzushi.

Jamaa alikuwa akiwakuta masela pale makaburini au popote Msewe kitaani wakimsimamisha au mwenyewe anasimama anawatoa dusko la maana tu.

Wenye kunywa pombe wanakunywa au wenye kuvuta Kush wanavuta.

Mara kadhaa alikuwa anasimama pale Glossary kwa mama 'Klaree' code name hii. Anaongea na Kim Nana wa Salon kisha anawapiga mpunga wadau waliopo glossary waendelee round kadhaa.

Mimi I was arrogant napiga mvinyo wangu sijihusishi kugawana dusko la Millard.

Jamaa ni mpole kama mgoloko flani lakini anazijua rules za kuishi na wajuba uswahilini matola. Yaani unawatoa kimtindo masela hatari vitu kama bia , sigara, msosi au pesa kidogo ili wakulinde dhidi wahuni na mateja wa kitaa. Hii itakuwa alijifunza Arachuga kule ...

Muulize Pdidy na yule teja marehemu wakitaani Mbezi.
 
Kwa jinsi Millard alivyoishi vizuri na wadau wa kitaa (wandewa/wazawa) wa Ubungo Msewe hao waliomputisha ni wageni au hii stori ulilishwa matango pori uzushi.

Jamaa alikuwa akiwakuta masela pale makabirino au popote Msewe kitaani wakimsomamisha au mwenyewe anasimama anawatoa dusko la maana tu.

Wenye kunywa pombe wanakunywa au wenye kuvuta Kush wanavuta.

Mara kadhaa alikuwa anasimama pale Glossary kwa mama 'Klaree' code name hii? Anaongea na Kim Nana wa Salon kisha anawapiga mpunga wadau waliopo glossary waendwlee round kadhaa.

Mimi I was arrogant napoga mvinyo wangu sihjihusishi kigawana dusko la Millard.

Jamaa ni mpole kama mgoloko flani lakini anazijua rules za kuishi na wajuba uswahilini matola. Yaani unawatoa kimtindo masela hatari vitu kama bia , sigara, msosi au pesa kidogo ili wakulinde wahuni na mateja wa kitaa. Hii itakuwa alijifunza Arachuga kule ...

Muulize Pdidy na yule teja marehemu wakitaani Mbezi.
Hahaha wewe ndio yule ulikuwa unapiga wine tu pale maeneo Sio? Wewe ni glass deile za wine tu..... Hahaha

Uko Sawa, dogo mtoto wa chuga codes anazijua.. Hao walimpukutisha tu kihuni huni na ndio maana ikawafikia wandewa baada ya kulalamika hiyo ishu. Ikaisha.

Ni vijana na wivu ulichangia...hivyo wakaona wasikose demu na dusko.. Wakavuta hela..

Dogo alikuwa anawapiga kimya kimya haswaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa alijifanya kama kijana fulani ambae mbususu sio inshu sana kwake,hata siku moja hakuwahi kuonekana kuwa na demu ambae watu wangehisi hata kuwa jamaa anatafuna.

Jamaa kila siku alkuwa busy kuisaka pesa aendelee kujitajirisha,na vijana wengi sana walitamani kuishi kama yeye yaani unazisaka pesa huna habari na mbususu.

Sasa jamaa ghafla kapindua meza,tena kwa kishindo kabsa kafunga na ndoa kabsa ingawaje ndoa yenyewe ilikuwa na element za kiuwabata.

Hongera billionea mtoto kwa kuanzisha familia.
Low profilers knows what he did.. Na tumempa credit kubwa sana..
 
Acha mishe za ajabu mkuu,Millard Ayo hawezi kuitwa Billionaire hata kidogo! Kipato chake ni cha kawaida tu! Sema sababu ni celebrate ndiyo maana watu wengi wanasema jamaa ni billionaire! Hua nashangaa sana hata Marehemu Msuya kuitwa Billionaire! Au ndiyo yale ya kina Mwijage! Vichwa 4 vya cherehani ni kiwanda tayari???
Billionaire ni nani au n mtu wa aina gani?
 
Katika jamii zetu kuna hili tatzo sana watu wanauliza sana hasa wanapokuona kiuchumi uko vzur afu ukawa unaonekana huna mpango wa kuoa,mwsho wa siku misukumo hii inampelekea kijana kuoa na kujiingiza matatizon hasa anapokutana na mwanamke mwehu na kujikuta kijana anapolomoka kiuchumi
Kwa kweli utazushiwa kila jambo hata makazini unakuta swali ni hilo utaoa lin binadamu wanakariri maisha sana
 
Jamaa alijifanya kama kijana fulani ambae mbususu sio inshu sana kwake,hata siku moja hakuwahi kuonekana kuwa na demu ambae watu wangehisi hata kuwa jamaa anatafuna.

Jamaa kila siku alkuwa busy kuisaka pesa aendelee kujitajirisha,na vijana wengi sana walitamani kuishi kama yeye yaani unazisaka pesa huna habari na mbususu.

Sasa jamaa ghafla kapindua meza,tena kwa kishindo kabsa kafunga na ndoa kabsa ingawaje ndoa yenyewe ilikuwa na element za kiuwabata.

Hongera billionea mtoto kwa kuanzisha familia.
What is this!?
One issues has nothing to do with the other!! We jamaa ni hasara kabisa,we ulifikili wakati anatafuta pesa,hakuwa anataka kuwa na mahusiano?vijana mnachoambiwa ni kufsnya jambo moja kwanza,mshika mbili moja humponyoka.
 
hii sio kwa celebrities tu, hata kwa watu wa kawaida mitaani, ukiwa bize na mambo yako ukaachana na mambo yasiyo na maana ya mademu, basi stori zako utazikuta mtaa mzima kwamba unaliwa, hudindishi, mchicha mwiba, nyoka wa maonesho, nyuki wa mashineni etc. Kumbe umefocus tu na maisha, wabongo inabidi mbadilike pumbav.
 
Ni mchafuaje Sasa, kwani uzinifu huwa ni kuchafuana au ni tendo la asili na kila mtu ana uamuzi wake binafsi na mwili wake.
Ndio maana hivi vitu vihalalishwe tuache unafiki vinatendeka sana tu huku mtaani ila humu JF kila mtu malaika
Uzinifu ni tofauti na ulichoongea ingekuwa uzinzi wa kawaida tungesema kweli kawaida ila wewe umehusisha mapenzi ya jinsia moja.
 
eti skuizi naskia mtu akiwa bize sana na mambo yake bila kuwa na dem au madem au asipojihusisha na mapenzi na ke yeyote tena ukute ni maarufu na anapesa anaitwa shoga au anaambiwa hadindishi.

Je ni lazima kujihusisha na mapenzi au kuoa????
Kwasababu rolimodo wa vijana ni dayamondi na kiba wenye wanawake kila mtaa wanaona huo ndio uanamume! hawaamini kabisa katika kudate mtu mmoja na kutokumpost post.
 
Back
Top Bottom