cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Ukijibiwa nitag,eti skuizi naskia mtu akiwa bize sana na mambo yake bila kuwa na dem au madem au asipojihusisha na mapenzi na ke yeyote tena ukute ni maarufu na anapesa anaitwa shoga au anaambiwa hadindishi.
Je ni lazima kujihusisha na mapenzi au kuoa????
Na sio watu maarufu hata watu wa kawaida lol