Millard Ayo kapoteza maboya vijana wengi waliokuwa wanatamani kuwa kama yeye

eti skuizi naskia mtu akiwa bize sana na mambo yake bila kuwa na dem au madem au asipojihusisha na mapenzi na ke yeyote tena ukute ni maarufu na anapesa anaitwa shoga au anaambiwa hadindishi.

Je ni lazima kujihusisha na mapenzi au kuoa????
Ukijibiwa nitag,
Na sio watu maarufu hata watu wa kawaida lol
 
Mbona mashoga wameoa kabisa na Wana watoto mbona, hyo kutokuenekana na demu sio excuse sikuhizi wanaume mnakulana nyie kwa nyie mbona, hata wasio na hela
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
As long as anazalisha no problem at all, unfortunately hajawahi fanya hivo ka kina b twelve so usiingize hapa na hata akifanya naheshimu maamuzi na starehe yake mkuu, so relax
Jibu zuri na umemkomesha. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo kijana hana tofauti na b twelve hyo ndoa ni coverage tu ya mambo yake
Jitu tu likshashiba mihogo ya kwa shemeji yake linashika sim linaanza kuchafua watu mitandaoni kmmmk binadamu cc amakweli "Umaarufu,Gunia la mwiba"
 
Umeuliza ujinga mtupu hata sijaelewa unachokitaka, hafu huu Uzi mashoga mumekuwa wakali kwerikweri in Magus voice
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siku hizi hii kitu inapigiwa promo sana katika movie zote hata series unakutana nayo sana hayo manyanya na wanajifaharisha kwa kusema mbele za watu kwamba wao ni manyanya .Mungu tustiri tunakoelekea siko kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukweli hauwezi kubadilika kuwa Uongo..
Lakini ni kheri tujifunze kukaa kimya kwa jambo tusiloweza kulithibitisha..
Shutuma za namna hii kwa jamii yetu ni nzito sana,bila uthibitisho ni kuharibiana sifa tu..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…