Jamaa anaiga huyo Le MutuzUngekuwa hizo anazipata Lemutuz tusingekaa mjini, maana nae nasikia anafungua online TV!
Anyway hongera sana Millard ago halafu yuko poa kama hapati chochote vile!
Always humble....
Huyo Yesu Kristo ndiye anayemlipa hapo mamilion?Tumsifuni Yesu kristo
Na atafanikiwa maana watu tunaompenda tupo wengii sana tofauti na yule baba mnene mwenye manenoo mengiii....Nidhamu ndo kila kitu Hongeraa Millard Endelea kusonga Mbele babaAna mpango huo
Ungekuwa hizo anazipata Lemutuz tusingekaa mjini, maana nae nasikia anafungua online TV!
Anyway hongera sana Millard ago halafu yuko poa kama hapati chochote vile!
Always humble....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] le mutuz nationUngekuwa hizo anazipata Lemutuz tusingekaa mjini, maana nae nasikia anafungua online TV!
Anyway hongera sana Millard ago halafu yuko poa kama hapati chochote vile!
Always humble....