Millard Ayo, mtangazaji tajiri zaidi Tanzania, analipwa Mil 50-80/month na Youtube

Millard Ayo, mtangazaji tajiri zaidi Tanzania, analipwa Mil 50-80/month na Youtube

Ungekuwa hizo anazipata Lemutuz tusingekaa mjini, maana nae nasikia anafungua online TV!
Anyway hongera sana Millard ago halafu yuko poa kama hapati chochote vile!
Always humble....
Jamaa anaiga huyo Le Mutuz
 
Hongera sana Millard ayo

Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
 
Ungekuwa hizo anazipata Lemutuz tusingekaa mjini, maana nae nasikia anafungua online TV!
Anyway hongera sana Millard ago halafu yuko poa kama hapati chochote vile!
Always humble....

yes

kuna siku nilikutana nae photopoint, nikajua walewale superstars unaweza kumsalimia akachuna na akajiona unajikomba!!!....

akanisalimia kwa heshima sana, tukaanza story!! humble sana
 
Habari njema kwa wachapa kazi na wanaoamini mafanikio yapo kwenye kujituma
 
Ungekuwa hizo anazipata Lemutuz tusingekaa mjini, maana nae nasikia anafungua online TV!
Anyway hongera sana Millard ago halafu yuko poa kama hapati chochote vile!
Always humble....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] le mutuz nation
 
Huyu mleta taarifa anatakiwa ajue kua kudanganya katika kipindi hiki ni vigumu sana,hizi habari ndiyo huwa zinasababisha hadi baadhi ya ndugu wambane mtu nakumpa majukumu mazito,kwakujua kua anapata pesa nyingi.

Siyo vizuri,kwakweli,kanusha hiyo habari uliyoandika hapa,au omba mods waufute huu uzi.
 
Najaribu kufikilia YOU TUBE ingekuwa chini ya serikali YANGU sijui angevuta ngapi?
 
Kafanya uwekezaji mkubwa mkuu umesahau kuwa ni moja ya watu wenye followers wengi twita ukiachana na insta

Da killer's
 
Back
Top Bottom