Millard Ayo, mtangazaji tajiri zaidi Tanzania, analipwa Mil 50-80/month na Youtube

Yaani Amewapita Presidential Appointee Wa Rais Maana Waliambiwa Mwisho Millions 15
 
Yaani habari unatoa wewe mwenyewe na kuthibitisha wewe mwenyewe, Milard mwenyewe ndiye alipaswa kusemea hili....hakika umetuona sie Madunya kweli kweli.

You tube haitoi pesa kirahisi hivyo ndugu usipotoshe uma, tena ukizingatia maudhui yaliyopo kwenye channel ni ya nyumbani (local content)...hivyo na Wafuatiliaji kwa 99% lazima watakuwa ni Wabongo..sasa ujiulize ni Wabongo wangapi watatumia muda na MB zao kuangalia tangazo mpaka mwisho...ili hali kuna option ya ku skip au kuondoa?

Pia kumbuka matangazo mengine ni ya kujirudia, sasa ni nani atasubiri aangalie dakika nzima ya kitu ambacho amekwisha kiona hapo kwenye You tube au kwenye TV.

Pesa rahisi anayopata ni kwa yale matangazo anayoambatisha moja kwa moja na video husika, coz mlipaji ni huyo mwenye tangazo na hapo google hawahusiki tena..mfano yale ya GSM.

Namkubali Milard na ningeunga mkono apate kadri inavyowezekana ila sio kuja na habari za kusadikika.

Ingawa kwa kuwa na Watazamaji wengi kunaongeza nafasi ya kupata...kwa mfano kama unaambulia dola moja kwa kila views 5000, ni wazi kuwa ukiwa na views milioni 1 si sawa na mwenye views elfu 50,000....na hapo ukumbuke unapata tu kwa zile video ulizo na haki miliki nazo...sio ilimradi ume upload video basi utavuna pesa.
 
Millard yupo vizuri namkubali sana huyu jamaa
 
naomba nione hiyo payment slip maana kutwa maneno maneno kama wahenga
 

Mkuu achana na hao Wapuuzi Sisi tumeshakuelewa. Ayo hana ubavu wa kulipwa hicho Kiwango na nakubaliana kwa 100% na ufafanuzi wako Kuntu uliotupatia.
 
YouTube now awalipi kwa viewers but time watched and click per ads. Usidanganye watu......aaah just kidding kidogo.
Yaah ukiwa smart we say stay consistent, good quality content, use trending topic, stay creative U will earn YouTube money but sio easy you stay today and tomorrow you expect to receive something aaaah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…