Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo weweMillard Ayo anamiliki Vifaa vya Redio na Tv kabisa. Akiamua kuweka Transmitter tu anaruka hewani.
Sema kuna kitu anasubiri kitimie.
Mkuu hapa umewaza nini maana, nimejikuta nachekaWe unaweza kuchukuliwa ata na mijibwa...
Hongera sana Millard ayo
Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
Mimi sijapotosha mtu
Nimeongea kile ambacho kinafanyika
Youtube wanalipa endapo tangazo kwenye video yako litaangaliwa angalau kwa sekunde 30 tena utalipwa kwa views 1000 dollar 7 na point kadhaa hivi
Kwenye hayo malipo youtube anachukua 45pc ya malipo yako
Hivyo kwa millardi na diamond kutengeneza hizo hela ni uongo maana sidhani kama wana views za kutosha kiasi hicho
Na wao video zao nyingi hazina matangazo
Kama ingeangaliwa views tu
Justin Bieber angeongoza maana video zake nyingi zinasoma 1bil na kuendelea
YouTube now awalipi kwa viewers but time watched and click per ads. Usidanganye watu......aaah just kidding kidogo.Kwanza kabisa nikupe hongera Millard ayo kwa kazi nzuri unayofanya ya uandishi wa Habari. Wewe una kipaji kikubwa sana.
Presenter millard Ayo ndio anayetajwa kuwa mtu anayepokea royalities za You tube nyingi zaidi baada ya Diamond Platnumz katika nchi ya Tanzania, hii ni kutokana na viewers na subscribers wa channel zake ambapo kwa mwezi malipo yake huwa yana range mil 50 hadi 80 kutokana na idadi ya viewers, diamond anarange 80mil-130mil kwa mwezi.
Kwakweli nimpe hongera kwani ameajiri vijana wengi(zaidi ya 10) ktk online TV yake.
Vijana nawaasa muwe wabunifu kama millard na mtafanikiwa sana. Millard ayo tunatarajia kuona mambo zsidi kutoka kwako, ikiwezekana ufungue kituo cha radio na television kwani una mashabiki wengi.
Wengine wanaovuna mkwanja mkubwa you tube ni global tv, harmonize, rayvanny. Actually hata wasanii ambao sijawataja nao wanapata pesa nyingi tu.
Thanks
Naunga mkono hoja.Mkuu achana na hao Wapuuzi Sisi tumeshakuelewa. Ayo hana ubavu wa kulipwa hicho Kiwango na nakubaliana kwa 100% na ufafanuzi wako Kuntu uliotupatia.
kwani ajira bado?Ngoja nami nichangamkie fursa Hii..... Serikali bado wanahakiki tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Millard yupo vizuri namkubali sana huyu jamaa
Embu rudisha ile avater mamaKumbee. Loh. Ivi ameoa kweli. Niwe shemeji yenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]