Millard Ayo, mtangazaji tajiri zaidi Tanzania, analipwa Mil 50-80/month na Youtube

Namnukuu Harmonize kwenye Kipindi cha Xxl Cloudsfm. Alisema , "Kila mwezi napokea Million 5 toka YouTube. Kwahyo najisikia raha Mama yangu kumpa elfu 50 za matumizi kila siku."

Jiulize kama Harmonize ana Subscribers 139K anavuta hiyo. je, Millard Ayo mwenye 500K? Si anavuta si chini ya Million 25 + Matangazo yake binafsi =Million 50.

Kwahyo mtoa mada hajacheza mabali.

NOTE:
YouTube wanalipa kupitia matangazo hata kama Uki skip, Jua hiyo ni hela tayari maana lazima ulitazame kwa muda flani ndio uskip.
 
Tafakari pia operating costs, zinazopelekea hayo matangazo na watazamaji wake kuwepo, lazima kuna gharama hiyo pesa haijaja hivihivi tuu.
 
umenena vema!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafakari pia operating costs, zinazopelekea hayo matangazo na watazamaji wake kuwepo, lazima kuna gharama hiyo pesa haijaja hivihivi tuu.
Nahisi hicho ni kiwango anachoingiza kwa Mwezi. Akilipa Wafanyakazi wake , Jengo , Umeme , Usafiri, Mawasiliano , Kodi anabakiwa na pesa yake.
 

Wewe ni moja ya wajinga ninao waita hapa. Youtube hawalipi kama usemavyo wewe, youtube wanalipa endapo hilo tangazo litaangaliwa kwa sekunde 30, tena mtu analipwa kama video ni yake, mtu analipwa dollar 7 kwa views 1000 za matangazo yaani ad views 1000, tofauti na hapo utakuwa wadanganya watu na ndio maana nakuita mjinga...
Kingine usichojua ni kuwa kwenye hayo malipo bado kuna 45% ya youtube ambayo wanaikata kwenye malipo yako.
Muulize huyo harmo lini kapokea hiyo hela tena tokea alipo pata siku ya kwanza...

Ingekuwa rahisi hivyo watu wangetengeneza stations za kuangalia tu youtube ili mwisho wa sku wapate hela ndefu
 
SASA We Ndo Hujui Unachokiongea! Hata Idadi Ya Viewers Inaangaliwa Kwenye Malipo Ya YouTube! Thought Na Hilo La Matangazo Pia Huingiza Mkwanja Pia.
 
Uyu angefungua station yake au atengeneze vipind auze...
boss mbona vyote hivyo anafanya mda tuu s ndo ayotv au wataka hadi ionekane kwe tv na anastudio anaandaa vipindi na kuuza redio na tv mbalimbali
 
boss mbona vyote hivyo anafanya mda tuu s ndo ayotv au wataka hadi ionekane kwe tv na anastudio anaandaa vipindi na kuuza redio na tv mbalimbali

Ayotv ni YouTube channel sio TV,..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…