Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
that's too sad and too bad,Besti, mwanaume wa Dar atakuchafua tu, yani ile ndio imekaa vizuri unaskia " nakuja nakuja nakuja, haaaa" kurudia hakuna tena hapo anakwambia anawahi meeting
Ukiwakuta wanaperuzi Instagram sasa. Mtu kafollow account za udaku tu.😀Nachagua kukuamini sababu mwisho wa siku niliyaskia kwa wanawake wenu hata siyo wa mkoani, tungesema wanasingiziwa maskiini.!
Wanashangaza baadhi ya tabia zao, ni mwanaume wa shoka kabisa lakini mwendo hata wa kituo kimoja tu hawezi kutembea.! I've met some ov them, mtu anasema kabisa 'siwezi'..!Ukiwakuta wanaperuzi Instagram sasa. Mtu kafollow account za udaku tu.😀
Inasikitisha sana.Wanashangaza baadhi ya tabia zao, ni mwanaume wa shoka kabisa lakini mwendo hata wa kituo kimoja tu hawezi kutembea.! I've met some ov them, mtu anasema kabisa 'siwezi'..!
Ndiyo kijamaa kama hiki kikasimamie ukucha kwenye show seriously.?
kakurupuka na umbeya wake, mdomo ulikua wamuwasha...Menina au Meena?
Umetukosea sana Carl, hivi hata sisi wa kuja umetujumuisha?😂😂Nachagua kukuamini sababu mwisho wa siku niliyaskia kwa wanawake wenu hata siyo wa mkoani, tungesema wanasingiziwa maskiini.!
Sawa ,umeshakula chakula cha mchana
😂 😂 😂Umetukosea sana Carl, hivi hata sisi wa kuja umetujumuisha?😂😂
Imebidi nishangae kabisa. Marahabaaaa.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shikamoo Kaka Elli, nitawezaje kukukosea nidhamu kwa kiwango kikuu namna hiyo mimi eti.?
Mimi nikiwa dsm sipendi kutembea unless ni asubuhi sana au jioni sababu ya joto yaani dakika mbili unaona vest ishalowa. Unaniweka kundi gani mama ushauri 😊😊Wanashangaza baadhi ya tabia zao, ni mwanaume wa shoka kabisa lakini mwendo hata wa kituo kimoja tu hawezi kutembea.! I've met some ov them, mtu anasema kabisa 'siwezi'..!
Ndiyo kijamaa kama hiki kikasimamie kucha kwenye show seriously.?
acha kumsingizia mwenzio nawe ndo captain wao we mzeeMnatudhalilisha sana. Wanaume wote tuliopo Dar tunaonekana hatuna maana.
Siwezi na sikumbuki kama nakuwaga mfatiliaji wa habari za udaku.acha kumsingizia mwenzio nawe ndo captain wao we mzee
Mnatudhalilisha sana. Wanaume wote tuliopo Dar tunaonekana hatuna maana.
HAPANAHaha'.!
Kuna siku nilikuwa huko, nikawa nimeenda saloon, Jinsi wale wanawake walivyowachambua, nikasema sinto date mwanaume wa huo mkoa walaqhi.!
Ni kweli. Nimekuja tu kutafuta. 🤔HAPANA
Sio wote, mwanaume wangu wa Dar wala hayupo hivyo jamani! Ila hajazaliwa Dar [emoji848]