Millard Ayo na Meena Ally

Millard Ayo na Meena Ally

Ukiwakuta wanaperuzi Instagram sasa. Mtu kafollow account za udaku tu.😀
Wanashangaza baadhi ya tabia zao, ni mwanaume wa shoka kabisa lakini mwendo hata wa kituo kimoja tu hawezi kutembea.! I've met some ov them, mtu anasema kabisa 'siwezi'..!

Ndiyo kijamaa kama hiki kikasimamie kucha kwenye show seriously.?
 
Mimi nikiwa dsm sipendi kutembea unless ni asubuhi sana au jioni sababu ya joto yaani dakika mbili unaona vest ishalowa. Unaniweka kundi gani mama ushauri 😊😊
 
Back
Top Bottom