Evody kamgisha
Member
- Aug 4, 2011
- 97
- 108
Kwa Sasa ukiangalia post nyingi za Milard Ayo hazina (hazitrend ) hata kidogo Kwa sababu hapost kabisa mambo yanayoendelea kuhusu ubinafishishaji wa Bandari ya DSM na bandari nyingine Kwa DP WORLD.
Issue ya bandari imekuwa hot cake Kwa kila mtu anayepita mtandaoni.Hata Yanga na Simba na usajiri wao Bado haujazima issue ya Bandari.
Angalia hapa, mtu yeyote anayepost mambo nje ya bandari wachangiaji ni wachache mno ukilinganisha na kabla ya Issue ya bandari.
Mfano: Angalia post za Milard Ayo Kwa Sasa hazivutii hata kidogo na hii ni Kwa sababu mambo ya bandari ameyaweka pending wakati ndo issue kubwa nchini.