Millen Magese (Happiness Magese) apata mtoto

Hongera zake. Aliyempa ujauzito hawezi kuwa mwanaume wa Dar
 
Anasema aliogopa kuweka wazi kwa kuwa last year alipata miscarriage..so hakuw Na uhakika kama angeweza kufikia hatua ya kujifungua..ndo maana akakaa kimya.

love thé love or hâte thé love.....

Ndio maana nimempongeza, kuna wengine siju ya kwanza tu ameshavaa dera
 
Hongera model wa nchi yetu. Nimekufurahia, nakumbuka kukusikia kwa interview yako moja, imani yako.... Mbarikiwe
 
Hongera sana Millen........Mungu akutunzie furaha yako.
 
Siwezi upload video ila ningeupload uone kwa Mungu hakuna kinachoshindikana, wangapi wanaumwa magonjwa yasiyotibika lakini wanapona kwa uwezo wa Mungu. Imani inaponya

Sent using Jamii Forums mobile app

Mtu ambae hajawahi zaa na watu wanajua kuwa hajazaa apate mimba akae kimya?
Miezi 9. Hivi unadhani mimba ni sawa na mswaki kuwa unaweza uficha mfukoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…