Millen Magese (Happiness Magese) apata mtoto

Mungu akiamua hakuna wa kuzuia, hongera sana Milen
 
Kumbe alikuwa mjamzito!! Safi sana.
 
Ni kwa sababu alihangaika sana ndio maana imekua habari.
 
Ukimwamini MUNGU. hata uwe na gumu lipi. Atalitatua

Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
 
Waafrika bhana, kila mtu Mungu Mungu Mungu, kama huyo Mungu ndio kamtia mimba vile. Comments kama hizi huwezi kuziona hata kwa hao watu waliomleta Mungu Afrika
Chunga sana maneno yako, bora ukae kimya kuliko kuandika upumbavu wako

Simpi Kiki kunguni wa mwendokasi
 
Yule jamaa mwenye hati miliki ya Mkoa wa Dar mkewe nae si anatatizo kama hilo? aombe ushauri......
Aseme akutanishwe na psychic wa ukweli ambapo wana cast spell on infertile womb kitu inashika faster.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…