Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu akiamua hakuna wa kuzuia, hongera sana MilenBaada ya kuhangaika sana dada Millen magese ama zamani happiness magese na aliyewahi kuwa miss Tanzania, hatimaye mnamo tarehe 13 july 2017, 06:58 am amefanikiwa kupata mtoto wa kiume KAIRO MICHAEL MAGESE![]()
![]()
![]()
![]()
Ikumbukwe dada millen amehangaika sana lakini hakukata tamaa, nadhani watu wenye matatizo kama hayo msikate tamaa.....
Hongera Millen
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Baba mtoto nae anaitwa magese kumbe!..ila hongera yake
ALIPANDIKIZAHongera zake. Aliyempa ujauzito hawezi kuwa mwanaume wa Dar
Mbegu za mwenza wake au za sperm donors?ALIPANDIKIZA
mbegu ni mbeguMbegu za mwenza wake au za sperm donors?
Kwa mungu hakuna kinachoshindikana kama una pesaSiwezi upload video ila ningeupload uone kwa Mungu hakuna kinachoshindikana, wangapi wanaumwa magonjwa yasiyotibika lakini wanapona kwa uwezo wa Mungu. Imani inaponya
Sent using Jamii Forums mobile app
Naelewa and I'm happy for her nilitaka jua tumbegu ni mbegu
Chunga sana maneno yako, bora ukae kimya kuliko kuandika upumbavu wakoWaafrika bhana, kila mtu Mungu Mungu Mungu, kama huyo Mungu ndio kamtia mimba vile. Comments kama hizi huwezi kuziona hata kwa hao watu waliomleta Mungu Afrika
Aseme akutanishwe na psychic wa ukweli ambapo wana cast spell on infertile womb kitu inashika faster.Yule jamaa mwenye hati miliki ya Mkoa wa Dar mkewe nae si anatatizo kama hilo? aombe ushauri......