Mimba ni biashara kubwa mjini

Nimerudia kusoma mara tatu lakini nimetoka patupu!! Ngoja nisome comments za wadau tu.
 
Nimerudia kusoma mara tatu lakini nimetoka patupu!! Ngoja nisome comments za wadau tu.
Wanauza Mimba kwa Wanaume wasio na uwezo wa kutungisha Mimba Ila wana Pesa, kwa hio wadada wa uswazi wametake advantage wanapigwa Mimba zisizo na Baba kunakua na dalali anaingia mtu kati mtoto anafaulishwa akizaliwa Baba asieweza kutungisha Mimba analipia anapewa mtoto anaenda, bado hujaelewa
 
I strongly agree with you mkuu
 
Hii ishu ipo wapi?
Kuna pisi kali hapa katiwa mimba mwanaume kaikataa na kaondoka kabisa mjini. Nadhani angempata mtu wakuihudumia angefarijika sana. Maana anasema kuilea hawezi na kuitoa anaogopa ndio kwanza mwezi mmoja
Yeye wakati analala na huyo muhuni alitegemea kuna baba yake atakuja kulea huo ujauzito?

Mwambie apambane na hali yake, alale kitanda alichokitandika, yeye ndie alichagua jamaa amuweke sasa iwaje malezi atafute mfadhili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…