Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Kwani huko mikoani kuna biashara gani inalipa?Jiji limejaa mahanithi...
Itafikia kipindi wake zenu wawe wanafata mimba mikoani...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani huko mikoani kuna biashara gani inalipa?Jiji limejaa mahanithi...
Itafikia kipindi wake zenu wawe wanafata mimba mikoani...
Nimerudia kusoma mara tatu lakini nimetoka patupu!! Ngoja nisome comments za wadau tu.Kwa sisi wakazi wa jiji la maraha, jiji la bandari tunakubaliana kitu kimoja, jiji letu lina watu wengi wenye matatizo ya nguvu za kiume na low sperms count, yaani wanaume ni wagonjwa kuliko wanawake kwenye afya ya uzazi.
Sasa basi, kumekuwa na madalali wanawakutanisha wanaume wenye màtatizo ya uzazi na wanawake wenye mimba wasio na mababa zao.
Dalali anakula, mama anakula na Baba anafaidika kisheria. Kujipatia mtoto asiye wake.
Mijidudu ya Uswazi ime take advantage, unahudumia mimba, mwisho wa siku dada anajiunga kliniki tatu, hiyo ndiyo changamoto.
Play smart
Hatari sanaDunia msongamano kasema mama
Hali imekua mbaya sana aisee.....Inaonekana ajabu kwa sababu ya namna Afrika tunavyowachukulia watu wasio na watoto wao wa damu zao.
Wanauza Mimba kwa Wanaume wasio na uwezo wa kutungisha Mimba Ila wana Pesa, kwa hio wadada wa uswazi wametake advantage wanapigwa Mimba zisizo na Baba kunakua na dalali anaingia mtu kati mtoto anafaulishwa akizaliwa Baba asieweza kutungisha Mimba analipia anapewa mtoto anaenda, bado hujaelewaNimerudia kusoma mara tatu lakini nimetoka patupu!! Ngoja nisome comments za wadau tu.
Sio kila Mwanaume anaevaa suruali ni Mwanaume wengine basi tu wangekua na uwezo wangebadirisha jinsia km yule wa Canada Ila ndio hivyo basi tena,
Umesema? Unatungishwa mimba?Natungishwa mimba Bure,
Nini makalio makubwa au?Waliosema kua uyaone ni waongo sana 👀👀👀mbona nimekua na naendelea kuyaona zaidi
Apana! Mambo ambayo hata wenyewe nahis hawajayaonaNini makalio makubwa au?
I strongly agree with you mkuuKwa sisi wakazi wa jiji la maraha, jiji la bandari tunakubaliana kitu kimoja, jiji letu lina watu wengi wenye matatizo ya nguvu za kiume na low sperms count, yaani wanaume ni wagonjwa kuliko wanawake kwenye afya ya uzazi.
Sasa basi, kumekuwa na madalali wanawakutanisha wanaume wenye màtatizo ya uzazi na wanawake wenye mimba wasio na mababa zao.
Dalali anakula, mama anakula na Baba anafaidika kisheria. Kujipatia mtoto asiye wake.
Mijidudu ya Uswazi ime take advantage, unahudumia mimba, mwisho wa siku dada anajiunga kliniki tatu, hiyo ndiyo changamoto.
Play smart
Hatari sana Sheikh Nabii na mtume tpaulI strongly agree with you mkuu
Demu wa uswazi awabambika mtoto madume wawili kwa mpigo!
Jambo wakuu! Naingia kwenye mada moja kwa moja. Huwezi kuamini lakini huu ndio ukweli halisi kuhusu huyu binti wa uswazi aliyekuwa aki-date na madume wawili tofauti na hatimaye mmoja wa madume hao kufanikiwa kumjaza mimba na kumzalisha mtoto mmoja wa kiume. In a nut shell, kisa hiki kiko hivi...www.jamiiforums.com
Ndio maana wanakufa na tai shingoniMbona atuoni wanaume kwa mwamposa wakitaka wasaidiwe kweny ili swala wanawake ndio wanamatatizo
MWAKITEGA ALIKO haya sio mambo ya NKAJA ndio maana hujadaka kituNimerudia kusoma mara tatu lakini nimetoka patupu!! Ngoja nisome comments za wadau tu.
Yeye wakati analala na huyo muhuni alitegemea kuna baba yake atakuja kulea huo ujauzito?Hii ishu ipo wapi?
Kuna pisi kali hapa katiwa mimba mwanaume kaikataa na kaondoka kabisa mjini. Nadhani angempata mtu wakuihudumia angefarijika sana. Maana anasema kuilea hawezi na kuitoa anaogopa ndio kwanza mwezi mmoja