Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Hili taifa litakuja kuwa na kizazi cha laana sababu ya maamuzi ya kipumbavu na kibinafsi wanayofanya watu wasiojielewa.Inaitaji akili kubwa kuelewa nn unazungumzia
Iv unalichoandika kinawezekana kwel?
Ukinambia mimba haina baba anapew mwanaume wingne ntaelewa ila mimba ina baba af apewe baba mwingne mtoto inakuaje iyo
Sasa hawa watoto watakua wakubwa wakijiuliza kuwa nafasi ya baba katika maisha yake ni ipi mbona kama baba hana faida? [emoji848][emoji848]
Huu upumbava ukemewe na kukomeshwa.