DATABASEE
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 588
- 585
Habari zenu wadau,
Kuna binti mmoja mpenzi wa rafiki yangu kipenzi Jana waligegedana sana, cha ajabu ambacho jamaa alichonieleza ni kwamba baada ya kama nusu saa bi dada akaanza kutapika na kichefu chefu cha kufa mtu eti binti anadai ana mimba ya jamaa hata lisaa halijaisha.
Alivyonielezea nikaona isiwe tabu ngoja niingie jukwaa la wajuvi wa mambo waniongezee maarifa. Inawezekana kweli? Hapo imekaaje wadau.
Naombeni wajuvi na wajuzi juu ya hili mtusaidie.
Ahsanteni.