Mimba ya dakika 30

Mimba ya dakika 30

DATABASEE

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
588
Reaction score
585
Habari zenu wadau,

Kuna binti mmoja mpenzi wa rafiki yangu kipenzi Jana waligegedana sana, cha ajabu ambacho jamaa alichonieleza ni kwamba baada ya kama nusu saa bi dada akaanza kutapika na kichefu chefu cha kufa mtu eti binti anadai ana mimba ya jamaa hata lisaa halijaisha.

Alivyonielezea nikaona isiwe tabu ngoja niingie jukwaa la wajuvi wa mambo waniongezee maarifa. Inawezekana kweli? Hapo imekaaje wadau.

Naombeni wajuvi na wajuzi juu ya hili mtusaidie.

Ahsanteni.
 
Habari zenu wadau!!

Kuna Binti mmoja!!mpenzi wa Rafiki yangu kipenzi!! Jana waligegedana saana cha ajabu ambacho jamaa alichonieleza ni kwamba baada ya kama Nusu SAA Bi Dada akaanza kutapika na kichefu chefu cha kufa MTU et Binti anadai ana mimba ya jamaa hata lisaa halijaisha!!! Alivyonielezea nikaona isiwe taabu ngoja niingie jukwaa la wajuvi wa mambo waniongezee maarifa!! Inawezekana kweli? Hapo imekaaje Wadau!! Naombeni wajuvi na wajuzi juu ya hili mtusaidie!!!
Ahsanten!!
Huko ni kupatwa kwa tumbo la uzazi!
 
Jamaa demu kamthibitishia jamaa ni mimba yake
 
Hiyo mimba ni tetemeko, au alinyonya dushe akapata kichefuchefu. Siku hizi ukimeza manii zinasafiri kwa mwendo kasi unaweza pata mimba ya dk 5
 
Hiyo mimba ni tetemeko, au alinyonya dushe akapata kichefuchefu. Siku hizi ukimeza manii zinasafiri kwa mwendo kasi unaweza pata mimba ya dk 5
Jamani wataalamu wa mambo achen kuhitimisha bila majibu mujarabu!!!
 
Mimba mwendo kasi only in Tanzania.

Back
Top Bottom